Toka tuanze hujatoa hata Aya wala hadithi mimi nimekupa za kutosha huko juu umekazania Rukya sijui umeisoma wapi hata hutaki kuleta andiko hebu lete andiko la hiyo rukya tulione au umetoa kichwani?Umesema ujuavyo wewe ila sijajua hivyo unavyojua ni kwa mtazamo wako binafsi au umetoa wapi fundisho hilo?
Amekosea,mi nadhani anachanganya ruqya ya kisheria na isiyokua ya kisheria,,isiyokua ya kisheria ndo isiyotakiwa kwa kuwa inahusisha shiriki.Mleta mada ameshasema sio sahihi kisomo cha Ruqya.
Kwani wewe unajua Albadir ni nini na kwanini waislamu wengine husema ni shirki? Ukijua hilo ndio utaelewa kwanini nasema novena ni sawa na albadir tu.Mbona unakomaa novena iwe sawa na albadir,unajua novena ni nini???msituhusishe na neema zenu za kiislam bana bakini nazo.
Ukidumu navyo hivyo vitu vitatu majini wabaya hawawezi kukugusa kwahiyo suluhisho ni kudumu navyo katika maisha yetu yoteNi hivi kujisomea ni jambo jema sana,ni kama vile dua nyingine za kawaida tujiombeazo binafsi, lkn mtu alopatwa na masheitwani tambua kwamba ni mgonjwa huyu,hajitambui pengine,ni vyema akasomewa na mtu mwingine.
Ukinzani wangu ni kuona hata wenye kufanya ibada kusumbuliwa na majini, sasa wewe unasema hiyo aya inasema ukifanya ibada hutoingiwa na majini na kwamba wasiofanya ibada Mungu huwafanya waingie na majini.Ndiyo na Aya nimekupa hapo juu lete yakwako kinzani
Magaidi wanaojilipua na kuua watu hao ndio waislam halisi na ndio uislamu unataka hivyo.Utofauti upo tena mkubwa sana ila katika kupiga vita uislam propaganda ni nyingi wale wasiojihusisha na hayo na kuhakikisha dini inafuatwa huitwa extremist au magaidi japo haipunguzi ukweli kuwa wao ndio wafuata dini ilivyo sahihi
Yeye anasema Ruqya haijathibit hivyo sio sahihi.Amekosea,mi nadhani anachanganya ruqya ya kisheria na isiyokua ya kisheria,,isiyokua ya kisheria ndo isiyotakiwa kwa kuwa inahusisha shiriki.
Nilichogundua kutoka kwako hujui chochote kuhusu uislam, Qur'an wala Sunnah unaleta porojo tu bila uthibitisho wa Aya wala hadithiUkinzani wangu ni kuona hata wenye kufanya ibada kusumbuliwa na majini, sasa wewe unasema hiyo aya inasema ukifanya ibada hutoingiwa na majini na kwamba wasiofanya ibada Mungu huwafanya waingie na majini.
Nimekuuliza nilete andiko la nini? Mimi nimekuja kukuuliza unazungumziaje hicho kisomo cha Ruqya ni sahihi au pia ni shirki? Umejibu kuwa sio sahihi, sasa nilete andiko la nini hapo tena?Toka tuanze hujatoa hata Aya wala hadithi mimi nimekupa za kutosha huko juu umekazania Rukya sijui umeisoma wapi hata hutaki kuleta andiko hebu lete andiko la hiyo rukya tulione au umetoa kichwani?
Mungu kakataza kuua nafsi ya mtu mwingine bila sababu ukiona mtu kafanya hivyo huyo sio miongoni mwa waislamu au muuminiMagaidi wanaojilipua na kuua watu hao ndio waislam halisi na ndio uislamu unataka hivyo.
"...Wala msiue nafsi ambayo Mwenyezi Mungu ameharamisha kuuliwa isipo kuwa kwa haki..."
Lete andiko la kuthibitisha kuwa ni sahihi au umekubaliana na mimi kuwa si sahihi?Nimekuuliza nilete andiko la nini? Mimi nimekuja kukuuliza unazungumziaje hicho kisomo cha Ruqya ni sahihi au pia ni shirki? Umejibu kuwa sio sahihi, sasa nilete andiko la nini hapo tena?
Ungekuwa unajua kuhusu sunnah sidhani kama ungepinga kisomo cha Ruqya, mimi naenda na wewe kama utakavyo kama nilivyokwambia kuna waislamu hawaamini hata hao majini hivyo kwa uzowefu wangu katika mada kama hizi ndio maana sitaki kuingia kwenye kubishana kuhusu hadithi wala aya za Qur'an mimi najaribu kujadili unavyoamini wewe na uhalisia ulivyo.Nilichogundua kutoka kwako hujui chochote kuhusu uislam, Qur'an wala Sunnah unaleta porojo tu bila uthibitisho wa Aya wala hadithi
Sijaitoa kichwani ni kisomo ambacho hutambulika kama tiba ya matatizo ya kijini na kichawi katika uislamu ambacho kipo kisharia. Wewe umejibu kwamba tiba ni mtu kufanya ibada na anatakiwa ajisomee mwenyewe muawadhatein na si kwenda kwa mtu amsomee kisomo cha Ruqya kwa sababu sio sahihi.Hiyo ya kusoma Rukya umeitoa kichwani?
Kwahiyo kumbe unatumia uzoefu?Ungekuwa unajua kuhusu sunnah sidhani kama ungepinga kisomo cha Ruqya, mimi naenda na wewe kama utakavyo kama nilivyokwambia kuna waislamu hawaamini hata hao majini hivyo kwa uzowefu wangu katika mada kama hizi ndio maana sitaki kuingia kwenye kubishana kuhusu hadithi wala aya za Qur'an mimi najaribu kujadili unavyoamini wewe na uhalisia ulivyo.
Sihitaji kuingia mabishano ya kimaandiko ndio maana hata hizo aya unazotoa naziangalia tu jinsi unavyosihusha na mitazamo yako.Lete andiko la kuthibitisha kuwa ni sahihi au umekubaliana na mimi kuwa si sahihi?
Tokea mwanzo sikuitaja albadir mimi wewe ndiye umeileta,rejea mada mezani.Kwani wewe unajua Albadir ni nini na kwanini waislamu wengine husema ni shirki? Ukijua hilo ndio utaelewa kwanini nasema novena ni sawa na albadir tu.