kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari.
Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka chooni na vifo vya ghafla bin pu.
Magonjwa haya yanatokana na tabia ya masheikh kuhudhuria karamu nyingi zinazoambatana na milo yenye nyama nyingi, wanga mwingi na sukari nyingi kwa masheikh. Vyakula kama pilau, ubwabwa, ugali, tambi, biliani, chai, tende, harua na soda na minyama mingi kwenye sherehe, visomo na Dua Kila siku kwa masheikh ndio chanzo kikuu cha matatizo haya.
Masheikh kuleni na kunywa kwa kiasi kisha mfanye mazoezi. Kataeni nyama nyingi kupita kiasi. Sio majini na uchawi na kula sana