Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Ushahidi kwa kifo cha sheikh mmoja tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwasema mashekhe pekee haitoshi.Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari.
Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka chooni na vifo vya ghafla bin pu.
Magonjwa haya yanatokana na tabia ya masheikh kuhudhuria karamu nyingi zinazoambatana na milo yenye nyama nyingi, wanga mwingi na sukari nyingi kwa masheikh. Vyakula kama pilau, ubwabwa, ugali, tambi, biliani, chai, tende, harua na soda na minyama mingi kwenye sherehe, visomo na Dua Kila siku kwa masheikh ndio chanzo kikuu cha matatizo haya.
Masheikh kuleni na kunywa kwa kiasi kisha mfanye mazoezi. Kataeni nyama nyingi kupita kiasi. Sio majini na uchawi na kula sana
Nchi zinazoongoza duniani kwa ugonjwa kisukari ni za uarabuni.Hivi kuna uhusiano wa kiimani kati ya ubwabwa, juisi ya miwa na wale jamaa wa upande ule?
Nchi za uarabuni ndizo zinaongoza kwa ugonjwa kisukari dunianiWewe uliyeanzisha thread ndiye unapaswa kuleta data pia ili mjadala ufuate takwimu.
Kitimoto kimefikaje huku kwenye uzi wa ma sheikh?!Vipi kuhusu wale walevi na Wala kitimoto? Hawapati madhara?
Tena mtu mmoja anakula kitimoto kilo 3! Hivi inawezekanaje?
Sijawahi kusikia mtu anakula mbuzi au ng'ombe hata nusu kilo mtu mmoja!
Mkuu, na lile vazi la kanzu lina wasaidia sana kuficha vitambi.⁶Mfungo ukiisha watu hutoka vitambi
Wanajilipa wenyewe. Kanuni ya saumu ni kuacha kula vyakula vyote vya mchana na kula vile vya usiku TU, futari inayojumuisha pamoja vyakula vya mchana na vya usiku (chai, andazi, bagia, majimbi, matunda, tende, tambi, nyama, maziwa, nk) walah hiyo sio futari bali kujilipa mwenyewe vyakula ulivyovikosa mchana. Kifupi lengo la saumu halikufikiwa. Hujafunga.Sema ukifika Mfungo ndio wanabugia sana misosi...yan msimu wa kufunga ndio makachori, mayai, mihogo ya kuparaza, tambi,nyama,biriani na uji kwenye mlo mmoja tu wa daku.
Apo stroke lazima.
Vazi la kanzu sio vazi la kiislamu, ni vazi la watu wa Asia ya kati na waarabu, Hata wayahudi linawahusu. Kule kwao linavaliwa na hata majambazi, walevi, wanzinzi na wahalifu wengine maana ni vazi lao. Waislamu wetu huku walidandia treni kwa mbele TU kuvaa kanzu.Mkuu, na lile vazi la kanzu lina wasaidia sana kuficha vitambi.⁶