Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

HATARI SANA
 
Sikuwahi kuiona hii, asante sana bro
 
Kulikuwa na taarifa kwamba kesi Yao ilianza kusikilizwa Jana jumatatu ya tarehe 12/04/2021, lakini bado sijaona update ama walishtakiwa Kwa kosa gani.

Mwenye kujua zaidi atujuze!
Ni jambo la kheri sana, Mungu Allah Yahwe amsimamie Mama yetu katika kufanya haki

Mama pia azipitie kesi zote za kubambika zinadhulumu haki ya Maelfu ya Roho
 
SHIDA yao KUU kujitawala wao kama NCHI na siyo DOLA LA KIISLAM. KUMBUKA KUNA KITABU KINAITWA SECRET TERRORIST NILIWAAMBIA MSOME HICHO KITABU KIMEELEZA KILA KITU KUHUSU UGAIDI. ILA TUKIRUHUSU MAREKANI KUPAMBANA NA UGAIDI HAPA KWETU NDIYO KAZI INAANZIA HAPO.

C.I.A wanafomula zao za kuibua mizozo zinazoitwa PRS MAANA YAKE PROBLEM , REACTION, SOLUTION. P ya Kwanza wanaanzisha tatizo mfano vifaa vya mlipuko, REACTION maana yake jamii itapaniki KWA HASIRA KWAMBA magaidi wamefanya yao na solutions ni kuwaomba wao MAREKANI kuja KUSAIDIA. HAYO ni KWASABABU ya uzoefu wa VITA YA VUGUVUGU LA KIARABU (ARAB SPRING).

FUNZO KUBWA LA KUZINGATIA NI KUWA SISI NI WATANZANIA SECULAR STATE HATURUHUSIWI KUONESHA UTENGANO WA AINA YOYOTE ILI KUONGEZA MAPENZI BAINA YA TAIFA LETU. YOTE HAYA YATAPATIKANA HAKI IKITAMALAKI KWA JAMII NZIMA YAANI BARA NA VISIWANI. PIA KWENYE MFUMO WA ELIMU KUNA TUNU ZA TAIFA AMBAZO ZIPO KWENYE MITAALA NAZO HUFUNDISHWA UMOJA NA MSHIKAMANO KAMA TUNU MUHIMU. ILA DHAMIRA YA KWELI INATAKIWA KUONEKANA KUANZIA KWA VIONGOZI WETU NA KUSISITIZA HAKI NA MSHIKAMANO AMBAVYO BAADAYE HUZAA TUNDA TAMU SANA LA AMANI YA KWELI.

MAWAZO YANGU NI HAYO
 
Kwa maelezo haya, wanastahili kifungo cha maisha gerezani, tuliokuwa tunawatetea kumbe tunatetea ujinga na Hatujui uhalisia.
 
Wale wanataka dola ya kiislamu..... Hawawezi kutoka kamwe kama nchi hii itaendelea kuwa kwenye vyama vingi au kuongozwa na chama mpaka wabadili msimamo wao....
Kama mnakumbuka kipindi cha kumwagiana tindikali zenji ndio hawa masela sasa....

Mengine tuyapuuze anajua mamlaka.
 
Kumbe hata wanaowatetea hawa watu hawawajui kiundani wengi ni mkumbo tu.!
 
Kama ni hivyo acha wakae ndani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…