Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

Ipo hv mkuu, uzuri nilikuwepo unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala cuf itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.hawa masheikh hawakuvutiwa na cuf wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya cuf au ccm wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya ccm kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sn siasa ndani ya zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe. na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hvy walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sn like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu. View attachment 1750626View attachment 1750627
HATARI SANA
 
bila ya shaka alikuwa anafahamu mpango mzima wa kukamatwa kisirisiri hao watuhumiwa na baadae kupelekwa bara, hata pale wataalamu wa sheria walipotoa mawazo yao juu ya makosa ya kushitakiwa bara hao watuhumiwa yeye kama mtendaji mkuu wa serikali hakuonekana kuchukua hatua yeyote

Sikuwahi kuiona hii, asante sana bro
 
Kulikuwa na taarifa kwamba kesi Yao ilianza kusikilizwa Jana jumatatu ya tarehe 12/04/2021, lakini bado sijaona update ama walishtakiwa Kwa kosa gani.

Mwenye kujua zaidi atujuze!
Ni jambo la kheri sana, Mungu Allah Yahwe amsimamie Mama yetu katika kufanya haki

Mama pia azipitie kesi zote za kubambika zinadhulumu haki ya Maelfu ya Roho
 
SHIDA yao KUU kujitawala wao kama NCHI na siyo DOLA LA KIISLAM. KUMBUKA KUNA KITABU KINAITWA SECRET TERRORIST NILIWAAMBIA MSOME HICHO KITABU KIMEELEZA KILA KITU KUHUSU UGAIDI. ILA TUKIRUHUSU MAREKANI KUPAMBANA NA UGAIDI HAPA KWETU NDIYO KAZI INAANZIA HAPO.

C.I.A wanafomula zao za kuibua mizozo zinazoitwa PRS MAANA YAKE PROBLEM , REACTION, SOLUTION. P ya Kwanza wanaanzisha tatizo mfano vifaa vya mlipuko, REACTION maana yake jamii itapaniki KWA HASIRA KWAMBA magaidi wamefanya yao na solutions ni kuwaomba wao MAREKANI kuja KUSAIDIA. HAYO ni KWASABABU ya uzoefu wa VITA YA VUGUVUGU LA KIARABU (ARAB SPRING).

FUNZO KUBWA LA KUZINGATIA NI KUWA SISI NI WATANZANIA SECULAR STATE HATURUHUSIWI KUONESHA UTENGANO WA AINA YOYOTE ILI KUONGEZA MAPENZI BAINA YA TAIFA LETU. YOTE HAYA YATAPATIKANA HAKI IKITAMALAKI KWA JAMII NZIMA YAANI BARA NA VISIWANI. PIA KWENYE MFUMO WA ELIMU KUNA TUNU ZA TAIFA AMBAZO ZIPO KWENYE MITAALA NAZO HUFUNDISHWA UMOJA NA MSHIKAMANO KAMA TUNU MUHIMU. ILA DHAMIRA YA KWELI INATAKIWA KUONEKANA KUANZIA KWA VIONGOZI WETU NA KUSISITIZA HAKI NA MSHIKAMANO AMBAVYO BAADAYE HUZAA TUNDA TAMU SANA LA AMANI YA KWELI.

MAWAZO YANGU NI HAYO
 
Ipo hv mkuu, uzuri nilikuwepo unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala cuf itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.

Hawa masheikh hawakuvutiwa na cuf wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya cuf au ccm wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya ccm kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sn siasa ndani ya zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe.

Na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hvy walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sn like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu.

View attachment 1750626View attachment 1750627
Kwa maelezo haya, wanastahili kifungo cha maisha gerezani, tuliokuwa tunawatetea kumbe tunatetea ujinga na Hatujui uhalisia.
 
Wale wanataka dola ya kiislamu..... Hawawezi kutoka kamwe kama nchi hii itaendelea kuwa kwenye vyama vingi au kuongozwa na chama mpaka wabadili msimamo wao....
Kama mnakumbuka kipindi cha kumwagiana tindikali zenji ndio hawa masela sasa....

Mengine tuyapuuze anajua mamlaka.
 
Ipo hv mkuu, uzuri nilikuwepo unguja kipindi sakasaka hili linatokea, masheikh wa miadhara (uhamsho) wao walikuwa na ajenda yao kubwa ya kuamsha wazanzibar waliolala juu ya swala zima la nchi yao, wao kipindi wapo walikua wanawakumbusha wazanzibar kuwa si ccm wala chadema wala cuf itakayowakomboa kutoka kwenye maisha ya dhiki bali ni kufata mwenendo wa quraan na sunna za mtume.

Hawa masheikh hawakuvutiwa na cuf wala chadema wao walikuwa na sera yao kuwa demokrasia ni ukafiri ndio maana kila walipokuta bendera ya cuf au ccm wao walikua wakizishusha na kupandisha zao ambazo zina rangi nyeupe tupu na maandishi meupe kati yaliyosomeka kwa kiarabu hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na muhammad ni mjumbe wa mwenyezi mungu, wao wao walikuwa wanaamini kuwa kwa umoja wao basi walikua na uwezo wa kuiforce serikali ya ccm kutoka madarakani na wao kuchukua mamlaka kamili, nakumbuka wakati huo mambo mengi yalijitokeza wanawake waliovaaa nusu uchi walipigwa fimbo sn mitaani na vijana wafuasi wa uhamsho, walipinga sn siasa ndani ya zanzibar maana wao hawakuwa na chama, wakawa wanadamana kudai mamlaka kamili ndiipo serikali iliposhtuka na kuona hawa watu wakiachiwa mambo yataharibika Muda si mrefu ndio ikabidi wakamatwe.

Na ndio wakati huo huo viongozi baadhi wa makundi ya kijihad waliwakebehi uhamsho kwa style yao ya kutaka utawala utolewe na kuuita style za kizamni bimana kwenye uislam hakuna maandamano , hvy walitakiwa washike silaha na kuutoa udhalimu. Note sina uhakika sn inavyosemekana kukamaktwa kwa wale watu agizo lilitoka marekani na kusema hao watu ni htr sn hvy wakamatwe kwa makosa ya ugaidi wapo wanaodai kuna viongozi wa uhamsho walifanya training kandahar, na wakati huo raia wa kigeni huko zenji kipindi cha uhamsho walikutwa na madhira mengi sn like kumwagiwa tindi kali na kufanyiwa vitendo visivyofaa. hayo ndio yaliyowasibu uhamsho hadi leo America wanatazama kwa jicho la mwewe if watatoka au laa kesi ngumu.

View attachment 1750626View attachment 1750627
Kumbe hata wanaowatetea hawa watu hawawajui kiundani wengi ni mkumbo tu.!
 
Kama ni hivyo acha wakae ndani tu
 
Back
Top Bottom