Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?


Eti inasemekana vibaraka wa waarabu, yani unaongea vitu usivyovijua ilimradi tu udanganye umma. Acha hivyo mkuu.

Ebu tuambie waarabu wa wapi hao? Kwanza zanzibar ina mchanganyiko watu aina ya watu tofauti, wakiwemo na waarabu pia ambao wengiwao ni wazawa wa pale, na znz asilimia zaidi ya tisini ni waislamu. Sasa utasema nchi hiyo ni ya kikristo!!! Kuwa serious mzee! Wazanzibari Wana haki kudai haki yao, na muungano uvunjwe ili wawe huru, na misaada mingi watapokea kutoka arab/europe countries. Acheni wivu
 
Kama ndiyo hivyo acha wateseke.


Kwenye nchi inayofuata utawala wa sheria hao wanatakiwa wafikishwe mahakamani kujibu mashitaka kama yapo, kama hayapo basi inatakiwa waachiwe huru.

Kuwekwa mahabusu bila kufikishwa mahakamani ni kosa baya Labda kuliko kosa walilotenda kama lipo. Kumbuka hao ni binadamu wanastahili haki zote za binadamu kwa mujibu wa katiba ambayo Viongozi wa serikali huapa kwamba watailinda.

Kumbuka usemi huu: "A right delayed is a right denied"
 

Hizi akili nyingine bhana,kumbe lengo la kutaka kuvunja muungano ni kupokea misaada mingi kutoka "arab/Europe countries "?
 
Mbona unaongea uongo ni bendera zipi walizozishusha na walizishusha ktk kijiji gani maana wajifanya ww unaijua unguja kutushinda sisi ambak mababu zetu wamezalia huku pamoja na ma bibi zetu ww ulikuja unguja kwa kuja kununua tv hapa mtendeni sahivi unajifanya mwenyeji kutushinda sisi tulio zaliwa
 
Hahahaahah.

Eti anasema alikuwepo wakati tukio linatokea.

Ajabu hii!
 
Okay sawa.

Ni kwanini hawahukumiwi sasa. Hapo ndio uonevu unapoingia.
 
HATA MIMI NILIKUA NAWATETEA

LAKINI SASA HIVI NASEMAJEEEEEE

WAFUNGWE HUKOHUKO WASITOKE HAO NI HATARI KWA TAIFA HILI

NIMEMKUMVUKA PADRE EVARIST MUSHI NIMEKUMBUKA TINDIKALI NA ULE UCHOMAJI WA MAKANISA VYOTE VILITOKEA WAKATI WAO


NA KIFUPI WAISLAM WENGI HUA WANAINGIZWA MKENGE NA MAMBO YA ISLAMIC STATE NA HAWAJUI KWAMBA CHIMBUKO LAKE NI MAREKANI NDIO ALIANZISHA ILI WAISLAM WACHAFUKE NA WAO WAMEINGIA MKENGE WANASEMA TUNAPIGANA JIHAD MARA TUNAMPIGANIA ALLAH......NA NDIO HAOHAO WANA INFLUENCE WATU MPAKA ZANZIBAR WANATOKEA HAO MASHEIKH KUTAKA KUTEKELEZA MAWAZO YASIWEZA KUTOKEA YA KUTAKA DUNIA YOTE ISILIMU KITU AMBACHO HAKITATOKEA

MIMI NASEMAJEEEEEE WAENDELEE KUNYEA NDOO HATA KAMA SHERIA INAVUNJWA KWA AJILI YA AMANI YA TAIFA HILI WAKAE HUKOHUKO NA NIMEACHA KUWAONEA HURUMA NA KUWATETEA
 

Kwa Ninavyojua Wanashtakiwa Kwa Kuchochea Uhaini, Walitaka Kuvunja Serikali Isiyo Ya Kidini Na Kusimika Serikali Ya Kidini. Walitaka Zanzibar Iwe Dola Ya Kiislam Kamili
 
ndio kuna ma sheikh wengi katika gereza la kisongo arusha
Kuwa kiongozi wa dini haimaanishi uko juu ya sheria na kwamba ujifanyie mambo km unavyojisikia. Hawa watu wachache wanaotumia dini kugawa watu lazima wabanwe kwa masilahi mapana ya nchi.

Tukijenga tabia ya kutetea watu wa aina hii tutaligawa Taifa. Dini ni yako wewe si dini ya nchi.Km ni mbinguni utaenda wewe nchi itabaki kwann ulazimishe watu?
 
mie unguja nimezaliwa nimesoma mpk Kesho hadi kiama kitasimama unguja ndio home, nimeishi mkunazini baadae nikaja ishi paje na babu hadi nilipokuja bongo , usijifanye unaijua unguja kuliko wengine
 
Duh.... aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…