Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

Kipindi polisi anavamiwa akiwa anarudi home na kundi la vijana wa uhamsho ulikuwepo unguja!!wakamchinja mchana kweupe, je uhamsho walipotaka kuvamia maskani pale kisonge na kutaka kuichoma moto je! !!nakumbuka raia ndio walisema haya mambo hayawezikani wakaanza kwa umoja wao kuwarushia mawe hadi uhamsho wakarudishwa nyuma na kupolisi kuwahi kufika hapo ndio songo mbingo ilipoanza
Hahahaahah.

Eti anasema alikuwepo wakati tukio linatokea.

Ajabu hii!
 
Hizi akili nyingine bhana,kumbe lengo la kutaka kuvunja muungano ni kupokea misaada mingi kutoka "arab/Europe countries "?

Tanzania bara haipokei misaada kutoka nje? Au hawaombi kusaidiwa? Mpaka vyandarua mnasaidiwa hamuoni aibu mzee!!!!, hebu Acheni chuki bwana, au kwakuwa wale ni waislamu ndio muwakandamize!!! Yani nyie mngelikuepo enzi za ottoman empire aise mngefyekelewa mbali sana, maana wale walikua hawapendi dhulma au watu kuonewa onewa, haki haki! Yani Mna bahati
 
Hivi kuna mapadre na maaskofu magerezani?, Naona wanaonyonywa ni waislam tu
Wapo kwa makosa mengine lakini siyo kwa makosa ya uhaini ya kutaka kulazimisha utawala DOLA ZA KIKRISTO.
Kosa lao kubwa kadri ya wengi ni kutaka kusimika utawala wa dola wa sheria za kiislam. Bila mchakato wa kubadili katiba badala yake wakaanza kujichukulia sheria zao binafsi mikononi, baada ya washukiwa kuwekwa ndani, hatujasikia tena watu kumwagiwa tindikali wala kupigwa risasi alimradi kushinikiza utawala wa kiislam.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hili swala la Uamsho mimi nalirudisha nyuma kidogo kipindi cha Big Ben mwaka 2000 kipindi cha uchaguzi mkuu kama utakumbuka vizuri kuna watu wengi sana waliuwawa na wengine waliofanikiwa kutoroka walitorokea Shimoni(Mombasa). Hawa watu hawakukaa kimya kama tunavyodhani, ama usione walikotokea hao Masheikh ni coincidence. Haya mambo yalishapangwa kitambo na yalikuwa yanasubiri muda ujiri, yakamilike.

Nakumbuka mwaka 2015 Maalim Seif katika moja ya hotuba zake akiwa ni mgombea wa urais Z'bar alisema kwa uwazi kabisa, atapokuwa rais, jambo la kwanza ndani ya siku 100 za uongozi wake ni kuuvunja Muungano ili Z'bar iwe na mamlaka kamili. Isingekaa kuja kutokea Maalim Seif kuja kuwa rais wa Z'bar, huu ulikuwa ni mkakati wa muda tu wala mtu wa kinasaba chake kuja kuwa Rais hapo.

Hawa watu walichokuwa wanakifanya ni kuwalainisha Wazanzibari kwa lugha laini yenye utamu wa Asali na kuificha shubiri mwisho kabisa kwa kivuli cha Uislam na kuukataa ukafir wanaotendewa kama walivyokuwa wanahubiri. Hawakuwa wanaishia hapo tu kwan walitaka Pwani yote ya Bahari ya Hindi iwe chini ya Dola moja ya kiislam iongozwe na Sharia

Kitu kama hukijui, omba usaidiwe kukifahamu, sio ugonjwa. Kundi lililofanya ushenzi Kibiti, lililomtoa IGP Mangu, lile la mapango ya Amboni, kuna lipo lilikuwa Arusha na Mwanza yote yalinyamazishwa ila kuna kitu mpaka leo bado kinatupa mashaka. Kuna watoto zaidi ya 500 hapo Mkuranga na maeneo jirani walipotea, nikisema watoto sio wa shule ya msingi, wengi walikuwa wanaanzia umri wa miaka 14 mpaka 17.
 
Kesi ya Uhaini ya miaka ya 1980's iliendeshwa wazi, kwa hoja za mahakamani, waliohukumiwa kufungwa walifungwa maisha na walioachiwa waliachiwa.
Sasa kama hao viongozi wa UAMSHO ni magaidi au Wahaini, na kama Ushahidi usio na shaka upo kwa nini kesi yao Ipigwe Kalenda miaka nane, Je wanawakwa ndani miaka yote hiyo kwa mujibu wa sheria ipi ya nchi?
 
Haijalishi sheria inavunjwa au haivunjwi hao waozee huko
 
inawezekana walishapelekwa Guantanamo (just guessing) maana hakuna anayesema lolote juu yao
 
Waache tu waendeee kukaa.

Na wacha wanotetea waendeee kutetea.

Kama umebahatika kuwaangalia hio jana na ukaona sura zao ungehisi kama wapo happy kwa sababu fulani ingawa jela Sio nzuri
Acheni serikali ifanye kazi, nchi kwa sasa imetulia, hatuwezi kuruhusu nchi kugeuka kuwa kama Somalia, mara mapango ya amboni Tanga, mara padri kapigwa risasi Zanzibar, mara kuvamia vituo vya polisi. Hii nchi mtu akishindwa kuishi kwa amani kuna njia za kumlazimisha kufanya hivyo.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wazanzibar
Wao ni zaidi wanakuja bara, ardhi wanapewa, umeme unatoka bara, kuna mambo mengi mno wanafaidika nayo, wabara wala hawana hata muda wa kulalamika.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwa maelezo haya, wanastahili kifungo cha maisha gerezani, tuliokuwa tunawatetea kumbe tunatetea ujinga na Hatujui uhalisia.
Kama wanastahili kifungo cha maisha kwa nini mahakama isihukumu hivyo mpaka leo wapo rumande tu na kesi haimaliziki?
 
Tanzania bara haipokei misaada kutoka nje? Au hawaombi kusaidiwa? Mpaka vyandarua mnasaidiwa hamuoni aibu mzee!!!!, hebu Acheni chuki bwana, au kwakuwa wale ni waislamu ndio muwakandamize!!! Yani nyie mngelikuepo enzi za ottoman empire aise mngefyekelewa mbali sana, maana wale walikua hawapendi dhulma au watu kuonewa onewa, haki haki! Yani Mna bahati

Inamaana unaona Tanzania Bara inafaidi sana kwa hiyo misaada kiasi kwamba unataka kuvunja muungano ili na nyinyi mfaidi hiyo misaada?..hebu niambie tangu Tanzania ianze kupata hiyo misaada nini cha maana sana cha kujivunia kutokana na hiyo misaada?
 
Back
Top Bottom