GWajima? Kazi yake.wameachiwa kwa sababubya kila mwenye nia njema alipiga kelele juu ya uonevu ikiwemo pamoja na Vyama hasa Chadema. We ni mjinga unapinga jitihada za wazi zilifanywa na CHADEMA na Tundu Lissu wakati aa kampeni
Sababu hakuwa na interest nao kina babu seya alijua watatoka kumtumikia kumuimbia Nyimbo za kumuabudiaNaona unahamisha mjadala. aliyewaharibia ni kiongozi aliyekua huko kisha aliyewakaribisha gereza la bara halafu mkuu wote ni wale wa swala tano.
#Jiwehausiki
Andiko bora sanaMsiione haki kwa upande mmoja tu kutaka nyie mpewe zaidi ya wengine, huo ni ubinafsi, aina ya mahubiri mliyotoa yalihamasisha chuki zilizowaumiza wengine ambao nao wana haki zao, baada yenu kuwekwa ndani hali ikatulia...
Masikitiko makubwa! Mshua anamtoa Babu Seya Jela mwenye dhambi ya kubaka watoto, anaacha kuwatoa mahabusu Masheikh watumishi wa Mungu waliotukuka.Mbona alimtoa babu seya
Wala hata janja hiyo ya kuzuga, ili tuone kuwa remote hajashika yeye.Hapo Kikwete atakuwa kavimba kama chura
unaonaje waende wakafunguwe kesi ya FidiaMkawashauri sasa hao Masheikh wenzenu waishi kama dini yenu inavyotaka. Yale masuala ya kuhamasisha vurugu, utengano kwa kuwaumiza watu wasio na hatia, kumwagia watu wa imani tofauti tindikali, nk. Yalikuwa yanakiuka kabisa uvumilivu wa kiimani.
Sasa kwa miaka yote wamekaa gerezani upelelezi bado tu! Laumu mfumo wa upelelezi.Maskini machozi ya yule padre aliyemwagiwa tindikali, yule shehe mwenye asili ya tanga aliyemwagiwa tindikali, yule polisi aliyechinjwa hapo mwanakwwrekwe, wataliinwaliokuwa wanamwagiwa tindikali, makanisa yaliyokuwa yanachomwa , bar, pamoja na mabucha ya kitimoto[emoji2297][emoji2297]
Usikate rufaa wewe rufaa ichinje kabisa.Sijafurahishwa na hii habari nitakata rufaa. Magaidi hawawezi kuwa sehemu yetu hata siku moja
kwa hiyo wameachiwa kwa sababu ya dini zao?Wamekoma hawatarudia Tena huo ujinga
Sababu hakuwa na interest nao kina babu seya alijua watatoka kumtumikia kumuimbia Nyimbo za kumuabudia
Sijawahi msifia ila huwa nampongeza akifanya vizuri na kumponda akifanya vibayaLeo hudemki kumsifia mama?