The perfect guy
Member
- Nov 20, 2018
- 45
- 30
Kweli kabisa na 2025 asahau kabisa ata kuingia 3 bora ndani ya ccm yeye atakomea urais wa katiba tu.Ninachoona mama ameishiwa ushawishi anatafuta mileage ya kisiasa.. Muda unavyokwenda makonda atakamatwa nae.. We mpaka mafisadi wakina Singh wameachwa huru
Wewe usitake kuleta taharuki na kupotosha watu.Ole wa wakristo mkaao Zanzibar maana wamwaga tindikali wamerudi,je wataendelea kuua mapadri na kuwamwagia tindikali wakristo,yangu macho.
Hivi unajua kwamba kuna Masheikh zaid ya mia huko gerezani ukiacha hao wa uamsho ambao wanajulikana? Kuna masheikh walikamatwa huko Arusha nadhani unajua hilo ila sidhani kama hao masheikh wote unajua majina yao.Ndugu,
Maana yangu ni kwamba, tuletee hayo majina ya watu walio jela wameshkiliwa huku kesi zao nikiwa na miaka 8 na kuendelea sasa hivi.
Niliposema usilete umbea nilimaanisha usilete story story tu. Lete majina!
Samahani kama nimekukera mkuu
Tena huyo anataka asambaze chuki za kijinga sanaAcha kusambaza chuki sambaza upendo One love.
Kwahiyo mkuu huna majina??Hivi unajua kwamba kuna Masheikh zaid ya mia huko gerezani ukiacha hao wa uamsho ambao wanajulikana? Kuna masheikh walikamatwa huko Arusha nadhani unajua hilo ila sidhani kama hao masheikh wote unajua majina yao.
Mheshimiwa rais hana shida na ushawishi.Ninachoona mama ameishiwa ushawishi anatafuta mileage ya kisiasa.. Muda unavyokwenda makonda atakamatwa nae.. We mpaka mafisadi wakina Singh wameachwa huru
Kwahiyo Rais Magufuli hakuwa rais wa JMT??
Nimekuuliza swali kwamba wale Masheikh waliyokamatwa Arusha unawajua majina yao?Kwahiyo mkuu huna majina??
Huu sasa ndio umbea nlioukataa
Haya tumeyazoea.Samia ni mdini.ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea.shame!
Mkuu,Nimekuuliza swali kwamba wale Masheikh waliyokamatwa Arusha unawajua majina yao?
Kama hujui je hiyo habari ya kukamatwa masheikh huko Arusha inakuwa ni umbea? basi nijibu tu hilo.
Ama kweli Watanzania wamezoea kupelekwa kama nini sijui.Raisi Samia Suluhu anafuata Sheria, ninyi mlozowea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi, ni zamu yenu sasa mutafute Nchi inayotawaliwa na Dikteta muhamie na Magodoro yenu.
Ndio maana unaskia eti nawasalimu kwa jina la muungano hiyo yote ni kukwepa kusema tumsifu yesu kristo manake hakuwahi hata kusema hivyo .Kumwagia watu tindikali,kuchoma makanisa na kuwawa kwa yule padre hiyo dini yenu ndivyo inavyofundisha
samia ameonyesha udini wa wazi
Thibitisha.Huyo dikteta ni yupi unaye mzungumzia nahisi utakuwa unamzungumzia JPM lakini walikamatwa wakati wa kikwete.
Amini samia ameweka udini katika hili
Kazi iendeleeAcha chuki binafsi yeye ndie aliewaweka ndani? Takbirr, Mdame presdent hongera sanaa .
Mambo ya dini yanaingiaje hapa??Kumwagia watu tindikali,kuchoma makanisa na kuwawa kwa yule padre hiyo dini yenu ndivyo inavyofundisha
samia ameonyesha udini wa wazi
Akikujibu nishtue mkuuSamia ndio aliwaweka ndani?amewezaje kuwatoa
Tunaendelea kusisitiza kwamba Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.Seth Habinder katoka, na kuna afisaa mwingine katoka leo, sasa kama Raisi Samia ni mdini tu,Then get lost hili jukwaa sio la kusambaza CHUKI za kutugawa Watanzania.
Mama tutampa hata ishirini aongozeDini yetu ipi mburula wewe?
Ushahidi mkishindwa kuwasilisha kinachobakia ni majungu na fitna tu.
Wacheni majungu acheni haki kutamalaki!
"Viva mama Samia Suluhu. Tuko nawe. Kwa mwendo huu. Mitano tena ya haki itakuhusu.
Acheni kujitoa ufahamu na kumtetea mwendazake, wabakaji wakina babu seya walikamatwa utawala upi na walitoka utawala upi?kumbuka ni 2012 au unaongelea mwaka gani?