Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Ninachoona mama ameishiwa ushawishi anatafuta mileage ya kisiasa.. Muda unavyokwenda makonda atakamatwa nae.. We mpaka mafisadi wakina Singh wameachwa huru
Kweli kabisa na 2025 asahau kabisa ata kuingia 3 bora ndani ya ccm yeye atakomea urais wa katiba tu.
 
Ole wa wakristo mkaao Zanzibar maana wamwaga tindikali wamerudi,je wataendelea kuua mapadri na kuwamwagia tindikali wakristo,yangu macho.
Wewe usitake kuleta taharuki na kupotosha watu.

Wakristo wamekuwa wakiishi Zanzibar miaka na miaka. Tumesoma nao, tumecheza nao, na kuamiliana nao tangu tukiwa watoto.

Acheni kupotosha na kuongea ya uongo hapa.

Hatuna ugomvi na wakristo maana Sisi ni jamii moja. Acha uchonganishi wa kidini.
 
Ndugu,

Maana yangu ni kwamba, tuletee hayo majina ya watu walio jela wameshkiliwa huku kesi zao nikiwa na miaka 8 na kuendelea sasa hivi.

Niliposema usilete umbea nilimaanisha usilete story story tu. Lete majina!

Samahani kama nimekukera mkuu
Hivi unajua kwamba kuna Masheikh zaid ya mia huko gerezani ukiacha hao wa uamsho ambao wanajulikana? Kuna masheikh walikamatwa huko Arusha nadhani unajua hilo ila sidhani kama hao masheikh wote unajua majina yao.
 
Hivi unajua kwamba kuna Masheikh zaid ya mia huko gerezani ukiacha hao wa uamsho ambao wanajulikana? Kuna masheikh walikamatwa huko Arusha nadhani unajua hilo ila sidhani kama hao masheikh wote unajua majina yao.
Kwahiyo mkuu huna majina??

Huu sasa ndio umbea nlioukataa
 
Ninachoona mama ameishiwa ushawishi anatafuta mileage ya kisiasa.. Muda unavyokwenda makonda atakamatwa nae.. We mpaka mafisadi wakina Singh wameachwa huru
Mheshimiwa rais hana shida na ushawishi.

Hana shida na kumshawishi yoyote yule. Mama anachotaka ni kuhakikisha anatenda haki maana anaamini kwa dhati kabisa kwamba yeye ni udongo tu na atazikwa kwenye udongo.

Mama anajua hana uwezo wa kuongoza malaika na anajua kwamba anayo maswali ya kuwajìbu hao malaika akishaingizwa kwenye mwanandani.

Ushawishi kawaachia nyinyi ambao lengo lenu lilikuwa na bado limekuwa ni kushawishi watu
 
Nikweli hawana hatia

Sasa nani alimua padri mushi kwa risasi huko Zanzibar?

Waliomwagiwa tindikali huko Zzanzibar wanajisikiaje?

Mwana kulitafuta mwana kulipata, sasa tusubiri warudi wakajadili watoke vp next round

Karibuni uraiani tena mashekhe
 
Kwahiyo mkuu huna majina??

Huu sasa ndio umbea nlioukataa
Nimekuuliza swali kwamba wale Masheikh waliyokamatwa Arusha unawajua majina yao?

Kama hujui je hiyo habari ya kukamatwa masheikh huko Arusha inakuwa ni umbea? basi nijibu tu hilo.
 
Samia ni mdini.ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea.shame!
Haya tumeyazoea.

Mama yetu rais wetu kipenzi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan hya utaambiwa sana. Usiwasikilize wewe endelea kuwatumikia Watanzania.

Maneno ndio mtaji wa wasio na kazi za kufanya.
 
Nimekuuliza swali kwamba wale Masheikh waliyokamatwa Arusha unawajua majina yao?

Kama hujui je hiyo habari ya kukamatwa masheikh huko Arusha inakuwa ni umbea? basi nijibu tu hilo.
Mkuu,

Mjadala wetu umekuja kwamba wewe umesema je ni hao tu ndio wamekaa muda mrefu magerezani mpaka Leo waachiwe?? Nikakwambia mimi nijuavyo ni hao tu, ila kama wewe unawajua wengine basi weka majina hapa wanazengo tuanze kupiga kelele nao waachiwe. Tangu mchana Leo mpaka sasa hivi saa tano na nusu usiku hujaweka majina.

Ndio kwanza unaniuliza maswali tu, hebu weka majina ya watu wengine waliopo magerezani huu mwaka wa 8 kesi zao bado
 
Raisi Samia Suluhu anafuata Sheria, ninyi mlozowea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi, ni zamu yenu sasa mutafute Nchi inayotawaliwa na Dikteta muhamie na Magodoro yenu.
Ama kweli Watanzania wamezoea kupelekwa kama nini sijui.

Wamepata rais anafuata sheria wao wanataka warudi walikotoka
 
Kumwagia watu tindikali,kuchoma makanisa na kuwawa kwa yule padre hiyo dini yenu ndivyo inavyofundisha
samia ameonyesha udini wa wazi
Ndio maana unaskia eti nawasalimu kwa jina la muungano hiyo yote ni kukwepa kusema tumsifu yesu kristo manake hakuwahi hata kusema hivyo .
 
Kumwagia watu tindikali,kuchoma makanisa na kuwawa kwa yule padre hiyo dini yenu ndivyo inavyofundisha
samia ameonyesha udini wa wazi
Mambo ya dini yanaingiaje hapa??

Hapa tunajadili suala la uamsho kuachiwa. Mambo ya dini yana mada zake mkuu
 
Seth Habinder katoka, na kuna afisaa mwingine katoka leo, sasa kama Raisi Samia ni mdini tu,Then get lost hili jukwaa sio la kusambaza CHUKI za kutugawa Watanzania.
Tunaendelea kusisitiza kwamba Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.

Mdude ajiandae in shaa Allah.
 
Dini yetu ipi mburula wewe?

Ushahidi mkishindwa kuwasilisha kinachobakia ni majungu na fitna tu.

Wacheni majungu acheni haki kutamalaki!

"Viva mama Samia Suluhu. Tuko nawe. Kwa mwendo huu. Mitano tena ya haki itakuhusu.
Mama tutampa hata ishirini aongoze
 
Back
Top Bottom