Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Ujumbe wangu ni niwa Uislamu hufai Africa,urudi Uarabuni huko eneo za Iraq na SyriaUnataka kufikisha ujumbe gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe wangu ni niwa Uislamu hufai Africa,urudi Uarabuni huko eneo za Iraq na SyriaUnataka kufikisha ujumbe gani mkuu?
Yupo anapanga nao foleni ya chakula aliowabambika kesi.🤣🤣🤣juzi Sabaya kukaa wiki tu wamelalamika hao utadhani mashoga. Sabaya wiki moja tu kakondeana kama anaumwa ngoma. Sijui huwa wanajionaje wanaposhabikia udhalimu
Vipi kuwachangia waathirika wa tindikali, fujo na familia zilizopoteza wapendwa wao kutokana matamko yao kuhamasisha fujo na mapambano?Hili linawezekana kama wananchi walichangia mil 200+ kuwatoa kina Mboe gerezani hata hili nalo linawezekana.Kila mwananchi aliyeguswa na maumivu ya hawa mashekh akitoa sh 1000 nahakika zaidi ya mil 500 inaweza kupatikana na kurudisha tabasamu la hawa mashekh.Hii kuonyesha kwamba muda wote wa tulikuwa pamoja nao. MUNGU MBARIKI MAMA WA HAKI MAMA SSH
Sure ni tawi dogo la CCMIle ni jumuia mojawapo ktk chama chakavu
Na mapadri walio tusisahau pia kuchangia familia zaoVipi kuwachangia waathirika wa tindikali, fujo na familia zilizopoteza wapendwa wao kutokana matamko yao kuhamasisha fujo na mapambano?
Tuwachangie bukubuku alafu walihamshe tenaaHili linawezekana kama wananchi walichangia mil 200+ kuwatoa kina Mboe gerezani hata hili nalo linawezekana.Kila mwananchi aliyeguswa na maumivu ya hawa mashekh akitoa sh 1000 nahakika zaidi ya mil 500 inaweza kupatikana na kurudisha tabasamu la hawa mashekh.Hii kuonyesha kwamba muda wote wa tulikuwa pamoja nao. MUNGU MBARIKI MAMA WA HAKI MAMA SSH
Katika maongezi Yao wanasema wameachiwa Ila wakikosea mda wotewote wanaweza kurudishwa rumande tena. Sahizi itawabidi kukaa mbali na mediaAny movement will get them into a big problem. Usidhani wameachiwa bila mashart yoyote ya kimyakimya. Usije shangaa wakafunga vinywa vyao milele
Ujumbe wangu ni niwa Uislamu hufai Africa,urudi Uarabuni huko eneo za Iraq na Syria
Ndio hivyo naona mtoa mada anataka kuwapotoshaKatika maongezi Yao wanasema wameachiwa Ila wakikosea mda wotewote wanaweza kurudishwa rumande tena. Sahizi itawabidi kukaa mbali na media
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Yule Ni ulamaa.hivi yule naye ni shekhe?
Daaah! Hili umeshafeli mkuu, uislam africa ndio dini inayoongoza kuwa na wafuasi wengi kuli dini yoyote, pambania ishu nyingine mkuu, sasahivi waislam ndio wanaongoza nchi za zanzibar na tanzania zuri zaidi washauri wastaafu wamebaki waislam tu wakristo Muumba kawatwaaUjumbe wangu ni niwa Uislamu hufai Africa,urudi Uarabuni huko eneo za Iraq na Syria
Black...Mambo mengine siyo ya kuleta siasa na huruma, kuna mambo yanahitaji mkono wa chuma. Karibuni kitaa masheik.
Na sisi tulikuwa tunashinikiza hukumu itoke
Wewe jinga hutakufa eee? Pumbavumnafiki mkubwa wewe. Jiwe ametesa sana watu ndio maana Mungu kampa adhabu ya kifo. Bado nyie wahuni
Kumbe sio muelewa mkuu, nimekutajia masheikh wa Arusha ambao nao wapo huko muda tu isivyo haki na waislamu wanafuatilia kesi zao ili nao waachiwe ila kumbe wewe unajadili miaka 8, sasa huo si utoto unaoufanya hapa sheikh wangu.Mkuu,
Mjadala wetu umekuja kwamba wewe umesema je ni hao tu ndio wamekaa muda mrefu magerezani mpaka Leo waachiwe?? Nikakwambia mimi nijuavyo ni hao tu, ila kama wewe unawajua wengine basi weka majina hapa wanazengo tuanze kupiga kelele nao waachiwe. Tangu mchana Leo mpaka sasa hivi saa tano na nusu usiku hujaweka majina.
Ndio kwanza unaniuliza maswali tu, hebu weka majina ya watu wengine waliopo magerezani huu mwaka wa 8 kesi zao bado
..msimamo wa mwendazake kuhusu mashekhe wa uamsho.