Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Mungu Mkubwaaaa, Takbiiiiiiirrr. Mh. Rais wetu Mama Samia, ww kweli ni Mama hakika Mungu akulinde daima na milele.
 
mnafiki mkubwa wewe. Jiwe ametesa sana watu ndio maana Mungu kampa adhabu ya kifo. Bado nyie wahuni

Hebu tuiangalie vizuri filamu ya Idi Amin Dada ya " The rise and fall of Idi Amin" tuone na kuweka sawasawa kumbukumbu zetu huko Library
 
Hao uliowapa big up wote hawastahili.

Katika tawala zao waliona hawa watu wanaonewa lakini wakaamua kuunyamazia kimya uonevu huo.

Mama tutamkumbuka kwa uongozi wake milele na milele
milele na milele...una matatizo ya akili..haya kaanzishe kanisa kabisa...maana nikikuuliza kitu gani mama amefanya yeye kama yeye utarukaruka tu..praise and worship bana..Mama enu mwenyewe kasema anafuata ya mwendazake..huku mtaani ndo mnajifanya mnamjua sana..pumbavu
 
milele na milele...una matatizo ya akili..haya kaanzishe kanisa kabisa...maana nikikuuliza kitu gani mama amefanya yeye kama yeye utarukaruka tu..praise and worship bana..Mama enu mwenyewe kasema anafuata ya mwendazake..huku mtaani ndo mnajifanya mnamjua sana..pumbavu
Wewe ulitaka afanye nini ulidhike kwani unatukana tu utadhani na wewe ni rais wa nchi hii kwamba uko reserve unasubiri zamu yako uingie uwanjani
 
Tate...
Hayo usemayo mbona yameshindwa kupata ithibati mahakamani?

Unajua Uislam unafundisha nini?
Muislamu hawezi kufanya hayo usemayo.

Leo kuna tatizo kubwa la ushoga ndani ya Kanisa lakini sisi Waislam tunajua fika kuwa hayo si mafunzo ya Yesu Kristo.

Nitafanya makosa ikiwa mimi nitaandika hapa kuwa Ukristo unahimiza uchafu huu.

Tumia muda kufikiri kabla ya kunyanyua kalamu.
Nimeyapokea maoni yako kwa heshima kubwa Sheikh wangu Mohamed Said , na natambua fika wewe ni mmoja wa Wanazuoni waliobobea kwenye dini ya Kiislam.
Ila ukubali, ukatae! Kuna baadhi ya Waislam wenzenu wachache, wamekuwa ni chanzo cha uvunjifu wa amani kwa mgongo wa dini yenu. Masheikh wa Uamsho walikuwa ni mfano mmojawapo.

Na sijajua ambacho kingetokea iwapo tu wangeachwa mpaka leo kuhubiri yale waliyoona yanafaa kwa upande wao. Tangu Serikali ilipo wachukulia hatua, vitendo vya kumwagia watu tindikali na kuchoma makanisa, vilikoma huko Zanzibar.

Na kama hoja yao kuu ilikuwa ni kutaka Zanzibar kujitenga na Tanganyika, mbona kuna njia nyingi za kuchukua? Ikiwemo ya kuhamasisha kura ya maoni, kuandika petitions, nk? Ni kwa nini walikimbilia njia ya kuhubiri chuki kiasi cha kuwafanya baadhi ya vijana wachache wa Kizanzibari kujiingiza kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani dhidi ya raia wasio na hatia, na hasa wale wa imani nyingine?
 
Kwa hiyo wewe ukiulizwa unataka rais akufanyie nini?? Jibu lako itakuwa ni "aseme tumsifu yesu kristo"???

Ama kweli nchi hii
Kuna watu wana chuki na Dini ya wezetu, hivi akisema buana yesu asifiwe we mtu wakawaida utapata nini?....
 
Ya uamsho yameisha sasa mkahubiri mambo ya kumcha mwenyezi mungu na si uchangonishi wenye kutishia ustawi wa Amani yetu
 
Nikweli hawana hatia

Sasa nani alimua padri mushi kwa risasi huko Zanzibar?

Waliomwagiwa tindikali huko Zzanzibar wanajisikiaje?

Mwana kulitafuta mwana kulipata, sasa tusubiri warudi wakajadili watoke vp next round

Karibuni uraiani tena mashekhe
Mkuu sasa hivi Hakuna kuwa wanyonge ni panga kwa panga. Wakristo Waliozanzibar Wanyoe panga zao wakae tayari tayari
 
Kama u mwenye Uhakika huo Mkuu...Thibitisha hapa JF...
Hili jambo wala siyo la kutunga! Baada ya kuibuka kwa mihadhara ya hao Masheikh, matukio mengi ya uvunjifu wa amani yalilipotiwa Zanzibar! Vyombo vingibvya habari vili ripoti kwa kina vuguvugu la hao Masheikh.

Na kwa taarifa yako, awali hao Masheikh walikamatwa na vyombo vya dola vya Zanzibar kabla ya kuhamishiwa Bara. Na ikumbukwe baada tu ya kukamatwa kwao, vile vitendo vya kumwagia watu tindikali, kuchoma moto nyumba za ibada, navyo vilikoma! Katika hali ya kawaida, unashindwaje kuwahusisha hao Masheikh na hayo matukio?
 
Sheikh Ponda
1326.gif

Shekhe wangu huyo bana.
 
Nyie warabu weusi ni shida Sana,Mungu akipenda huu muungano uvunjike hauna faida kwa wabara,ajira zenyewe tu Kama za ualimu mpaka tuwaajiri

Kweli kabisa hao warabu koko wamezidi kulia lia Sana na huyo goi goi wao aliyepo madarakani ebu watuachie nchi yetu Tanganyika waendeleze na siasa zao za maji taka Mara sisi waunguja Mara sisi wapemba tuna mafuta na kudumisha mila na desturi za kiarabu!huku wakila mlo mmoja kwa ck pengine na kushindia boflo! yahani wabunge tuwalipe sisi mshahara na kiinua mgongo watoto wao watumie Kodi zetu kuingia chuo kikuu ajira waajiriwe kwetu kwao sie wabara haturuhusiwi kuajiriwa Mara Zanzibar inaidai Tanganyika cjuhi sh ngpy lkn Zanzibar haidaiwi kwenye deni la taifa
Lile wazo la uwepo wa Serikali Tatu lilikuwa ni wazo sahihi sana! Huenda lingepunguza pakubwa kuhusu hicho kinachoitwa Kero za Muungano!

Ila ndiyo hivyo tena. Ccm hawataki kabisa kulisikia.
 
Black...
Kuna wengi hawajui yaliyomo ndani ya jamii kwa kutekwa na propaganda.

Soma kwa uchache uelewa sifa za masheikh wetu na nini mchango wao kwa Waislam:

SHEIKH MSELEM BIN ALI ALITUNUKIWA NISHANI NA WAISLAM AKIWA KIFUNGONI 2014

Katika mkutano wa mwaka uliofanyika Pongwe, Tanga mwaka wa 2014 Jukwaa la Vijana wa Kiislam Tanzania walimtunuku Shekh Mselem bin Ali Nishani Maalum kwa mchango wake katika kuisomesha Qur'an Tukufu.

Kwa kuwa Sheikh Mselem alikuwa kifungoni nishani hii ilipokelewa na mwanae, Shaib Ali Mselem kwa niaba ya baba yake.

Nishani hii ilitolewa kwake na Sheikh Ahmada Kidege ambae na yeye sasa yuko jela kwa tuhuma za ugaidi.

Sheikh Kidege ni mja mwema na mwalimu wa madrasa na shule ya Chekechea ya Kiislam akisomesha watoto Qur'an Tukufu.

Tumwombee dua Allah amnusuru.
Amin
🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom