Mungu Mkubwaaaa, Takbiiiiiiirrr. Mh. Rais wetu Mama Samia, ww kweli ni Mama hakika Mungu akulinde daima na milele.
 
mnafiki mkubwa wewe. Jiwe ametesa sana watu ndio maana Mungu kampa adhabu ya kifo. Bado nyie wahuni

Hebu tuiangalie vizuri filamu ya Idi Amin Dada ya " The rise and fall of Idi Amin" tuone na kuweka sawasawa kumbukumbu zetu huko Library
 
Hao uliowapa big up wote hawastahili.

Katika tawala zao waliona hawa watu wanaonewa lakini wakaamua kuunyamazia kimya uonevu huo.

Mama tutamkumbuka kwa uongozi wake milele na milele
milele na milele...una matatizo ya akili..haya kaanzishe kanisa kabisa...maana nikikuuliza kitu gani mama amefanya yeye kama yeye utarukaruka tu..praise and worship bana..Mama enu mwenyewe kasema anafuata ya mwendazake..huku mtaani ndo mnajifanya mnamjua sana..pumbavu
 
Wewe ulitaka afanye nini ulidhike kwani unatukana tu utadhani na wewe ni rais wa nchi hii kwamba uko reserve unasubiri zamu yako uingie uwanjani
 
Nimeyapokea maoni yako kwa heshima kubwa Sheikh wangu Mohamed Said , na natambua fika wewe ni mmoja wa Wanazuoni waliobobea kwenye dini ya Kiislam.
Ila ukubali, ukatae! Kuna baadhi ya Waislam wenzenu wachache, wamekuwa ni chanzo cha uvunjifu wa amani kwa mgongo wa dini yenu. Masheikh wa Uamsho walikuwa ni mfano mmojawapo.

Na sijajua ambacho kingetokea iwapo tu wangeachwa mpaka leo kuhubiri yale waliyoona yanafaa kwa upande wao. Tangu Serikali ilipo wachukulia hatua, vitendo vya kumwagia watu tindikali na kuchoma makanisa, vilikoma huko Zanzibar.

Na kama hoja yao kuu ilikuwa ni kutaka Zanzibar kujitenga na Tanganyika, mbona kuna njia nyingi za kuchukua? Ikiwemo ya kuhamasisha kura ya maoni, kuandika petitions, nk? Ni kwa nini walikimbilia njia ya kuhubiri chuki kiasi cha kuwafanya baadhi ya vijana wachache wa Kizanzibari kujiingiza kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani dhidi ya raia wasio na hatia, na hasa wale wa imani nyingine?
 
Kwa hiyo wewe ukiulizwa unataka rais akufanyie nini?? Jibu lako itakuwa ni "aseme tumsifu yesu kristo"???

Ama kweli nchi hii
Kuna watu wana chuki na Dini ya wezetu, hivi akisema buana yesu asifiwe we mtu wakawaida utapata nini?....
 
Ya uamsho yameisha sasa mkahubiri mambo ya kumcha mwenyezi mungu na si uchangonishi wenye kutishia ustawi wa Amani yetu
 
Nikweli hawana hatia

Sasa nani alimua padri mushi kwa risasi huko Zanzibar?

Waliomwagiwa tindikali huko Zzanzibar wanajisikiaje?

Mwana kulitafuta mwana kulipata, sasa tusubiri warudi wakajadili watoke vp next round

Karibuni uraiani tena mashekhe
Mkuu sasa hivi Hakuna kuwa wanyonge ni panga kwa panga. Wakristo Waliozanzibar Wanyoe panga zao wakae tayari tayari
 
Kama u mwenye Uhakika huo Mkuu...Thibitisha hapa JF...
Hili jambo wala siyo la kutunga! Baada ya kuibuka kwa mihadhara ya hao Masheikh, matukio mengi ya uvunjifu wa amani yalilipotiwa Zanzibar! Vyombo vingibvya habari vili ripoti kwa kina vuguvugu la hao Masheikh.

Na kwa taarifa yako, awali hao Masheikh walikamatwa na vyombo vya dola vya Zanzibar kabla ya kuhamishiwa Bara. Na ikumbukwe baada tu ya kukamatwa kwao, vile vitendo vya kumwagia watu tindikali, kuchoma moto nyumba za ibada, navyo vilikoma! Katika hali ya kawaida, unashindwaje kuwahusisha hao Masheikh na hayo matukio?
 
Lile wazo la uwepo wa Serikali Tatu lilikuwa ni wazo sahihi sana! Huenda lingepunguza pakubwa kuhusu hicho kinachoitwa Kero za Muungano!

Ila ndiyo hivyo tena. Ccm hawataki kabisa kulisikia.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…