Na tangu hawa watu wahifadhiwe, hali ilikuwa shwari.
Magaidi wa msumbiji viongozi wake wengine wanatoke a Tanzania.
Leo hii, yanatukuta tena Watanzania.
Mungu Irehemu nchi ya Tanzania, maana bila Rehema ya Mungu kinachofuata ni kilio na kusaga meno.
 
Hao sasa hivi watakuwa watiifu sana kwa jamhuri miaka 9 wameshakuwa brainwashed kwelikweli hapo ukijichanganya uende na mambo ya tuachwe tupumue ukimaliza tu kuongea nao kabla hujashika kitasa cha mlango utoke tayari utakuwa mikono salama
 
Miaka 9 ni fundisho... wameelewa kitu kuhusu hiiJamhuri ya Muungano wa Tanzania - nakumbuka waliingia wakati wa JK - wamekaa kaaa ki ukweli.
 
miaka 9 ni fundisho... wameelewa kitu kuhusu hiiJamhuri ya Muungano wa Tanzania - nakumbuka waliingia wakati wa JK - wamekaa kaaa ki ukweli.
Waongo hao jamaa na wanaowatetea kuna wakati walizusha sijui wamefanywaje ili kutengeneza taharuki lkn haikusaidia
 
Thus hakuna ushahidi ndo maana wapo huru.Miaka 8 wametafuta ushahidi umekosekana
 
Thus hakuna ushahidi ndo maana wapo huru.Miaka 8 wametafuta ushahidi umekosekana
Sheria sometimes sio fair sasa remedy za hao victims inakuwaje? Au ndio ile remi ongala aloimba kuwa ni kilio cha samaki au walatino wanayosema ni Damnum absque injuria?
 
Kiusalama hii imekaaje?
Haina athari yoyote Kwa sababu mlalamikaji ni jamhuri, aliyekuwa kawashikikia kwa kipindi chote ni jamhuri na aliyeamua kuwaachia ni jamhuri huyo huyo.

Labda hili Jambo lisiwafurahishe ndugu zao wa upande wa pili (Bakwata) maana ma Muft wote wawili marehem na huyu aliepo sasa hawakuwahi kuonesha hisia za wazi katika kuguswa na swala hili la hawa masheikh kuendelea kukaa mahabusu.

Hata sheikh Ponda aliposema hadharani kuwa waislam "tutamsaport Lisu kutokana na ahadi yake ya kuwaachia huru masheikh wa Uamsho maana hawana hatia.
Masheikh wengi wa bara team Bakwata walikanusha na kusema kauli ya Sheikh Ponda si kauli ya waislam maana Ponda si kiongozi wa umma wa waislamu.
 
Sheria sometimes sio fair sasa remedy za hao victims inakuwaje? Au ndio ile remi ongala aloimba kuwa ni kilio cha samaki au walatino wanayosema ni Damnum absque injuria?
Sheria utungwa na watawala Ili kuwakandamiza wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…