figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hawa waliokuwa nyuma ya mauji ya kibiti walitakiwa kuuwawa kitambo sanaMasheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Bakwata wanasemaje🐒
Ni chawa yupo kwenye dera la mama ananyonya damu.Sheikh Mkuu anasemaje?
Mauwaji ya Kibiti yalikuwa ni ya kisiasa zaidi kuliko wanavyoaminishwa watuHawa waliokuwa nyuma ya mauji ya kibiti walitakiwa kuuwawa kitambo sana
USSR
Hivi ni wa Islamu gani huwa wanapeleka kesi zao huko BAKWATA ili kupata suruhu mi bora nife na jambo langu moyoni...Bakwata wako kimya wanatumbua pesa.
Hakuna uhusiano wowote na chama kwenye hayo mashitaka yao.Kinachoangaliwa zaidi ni chama, kama upo kinyume na sera za chama haijalishi hata kama ni ukoo moja
Aloo hii ni balaa, kwahiyo baada ya kukaa miaka yote ile wamewarudisha tena ili hukumu yenyewe itekelezwe😮😮Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Ulitaka BAKWATA wahukumu nini?..Bakwata wako kimya wanatumbua pesa.