Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
M
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Aloo hii ni balaa, kwahiyo baada ya kukaa miaka yote ile wamewarudisha tena ili hukumu yenyewe itekelezw
Akili za kuambiwa changanya na zako! Hii ni kutaka ku- justify kuwa kesi ya UHAINI lazima unyongwe. Maanake ni kuwa hata Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwa kesi ya KUGHUSHI ya uhaini alopewa lazima na yeye anyongwe!!!Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.