Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

"... Kunyongwa hadi kufaa..."
Ivi kimahakama kuna adhabu ya kunyongwa isiyopelekea kifo?
 
Mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni Mungu tu mwanadamu hana.Infact kama akiwanyonga atakuwa ametafuta ugomvi na uadui na Mungu.After all atapata faida gani akiwanyonga,nothing.Mtu mwenye akili hafanyi jambo lisilo na faida.Afikirie mara mbili kufanya uovu huo.
Cc Kiranga
 
Kwamba tulitegemea kwakuwa Samia anatoka kwenye huo upande na masheikh wasamehewe, inaonyesha ni kiasi gani wananchi wanapenda nchi iendeshwe Kwa kufuata hisia zao....ni ujinga, wanyongwe kama Sheria inavyosema
 
Mama atabadili hukumu hiyo na kuwa kifungo cha maisha halafu tutaambiwa anaupiga mwingi unless sheria haimruhusu.
We umeona mbali yaani hapo inatafutwa mama sa100 apate kiki kwa umma wa kiislamu na hapa na hela kibao zitapigwa hapo
 
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa

Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.

Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.

MASHEIKH wengine bado wanasota jela.

Ponda ni moja kati ya Masheik mora kabisa kuwahi kutokea
Anasimamia iliyo kweli ya Mungu.
Mola amlinde Sheik Ponda.
 
hapa mnaandaliwa kisaikolojia, na yule mhaini akipatikana na hatia yatampata
 
"... Kunyongwa hadi kufaa..."
Ivi kimahakama kuna adhabu ya kunyongwa isiyopelekea kifo?
akinyongwa asipokufa --- kimsingi inabidi mumuache aende nyumbani --- sasa hapa adhabu ni kifo kwa njia ya kunyongwa --- lengo ni ufe. sasa kwenye sheria huko lugha wanazingatia sana
 
Baadhi ya waislamu hasa wale wanaovaa suruali fupi huwa ni washenzi sana. Kwa mliosoma Mkwawa High School mwaka 2004 mtakumbuka maustaadh walimpiga kama mwizi waziri wa sheria bila sababu. Walimuumiza sana jamaa. Tangu hiyo siku ninawadharau na kuwachukia waislamu wanaovaa suruali fupi.
 
Swala wana hatia? Kama imethibitishwa bila kuacha shaka kuwa wana hatia, basi sheria ichukue mkondo wake! Haijalishi vazi alilovaa au title alilobeba!
Akiwa jambazi kwakuwa sheikh aachiwe? Sheikh Ponda unaniangusha!
 
Hawa waliokuwa nyuma ya mauji ya kibiti walitakiwa kuuwawa kitambo sana

USSR
Hivi unajua kuhusu mauaji ya kibiti?
Kama hujui afadhali usiyazungumzie, uliza wanaojua wakuambie,au kwa kukusaidia nenda kibiti kawaulize wenyeji watakuambia.
 
Wao walipoua vipi wao walikuwa na haki?

Gaidi akiua ana haki serikali ikimnyonga haina haki?
Uovu hauigwi na naomba ukumbuke kwamba kila mtu atabeba msalaba wake mbele ya kitu cha enzi cha Mungu.Kwa hiyo siyo lazima mtu mwingine akifanya uovu na wewe ufanye uovu.
 
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa

Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.

Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.

MASHEIKH wengine bado wanasota jela.

Wagalatia leo kwao ni furaha kubwa
 
Mauwaji ya Kibiti yalikuwa ni ya kisiasa zaidi kuliko wanavyoaminishwa watu
Yaani watu wamelishwa matango pori nao kwa kuwa hawana kitu kichwani wakabeba mazima.
Brigedia General ..... aliyelazwa njia ya kwenda Kisiju alikuwa shekhe!!?
Ile MKIRU ilikuwa ni siasa na wala sio dini.
 
Back
Top Bottom