Dalili mbaya kivipi!!?Dalili mbaya kwa Mheshimiwa Lisu.
Hahahhaa sijamsikia muda mrefuMalaria 2 alitakiwa na yeye aunganishwe kwenye hiyo kesi. Maana ana viashiria vyote vya kuhatarisha amani ya nchi.
Una uthibitisho au ushabiki isijekuwa wanapinga ccmHawa waliokuwa nyuma ya mauji ya kibiti walitakiwa kuuwawa kitambo sana
USSR
Nani kakuambia haitekelezwi?!! Huna habari inaonekana na hizi mambo“Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa” hii kauli inatisha sana but kinachowafariji ndugu wa mlengwa hii hukumu bongo haitekelezwi.
Ni wakati mgumu mno kupitia hali hii.
Mwaipopo kimyaa sheikh wa LumunbaSheikh Mwaipopo anasemaje?
MAMA ANAUPIGA MWINGI 🤣🤣🤣🤣Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
Ataendelea kuwa chawa hadi mama atakapotoka madarakaniSheikh Mkuu anasemaje?
Ile iliyokuwa siasa ni vile tu watu wameamua kupotosha wanasingizia dini. tulioishi kule kipindi kile ndo tunajua uhalisia wa mambo yalivyokuwa yanakwenda. Ila acha tu tukae kimya tufunge mabakuliYaani watu wamelishwa matango pori nao kwa kuwa hawana kitu kichwani wakabeba mazima.
Brigedia General ..... aliyelazwa njia ya kwenda Kisiju alikuwa shekhe!!?
Ile MKIRU ilikuwa ni siasa na wala sio dini.
Mambo mengine tusichokonoane wengine hatuna uwezo wa kulipa wanasheriaNa wauaji wa Kibiti walikuwa wazalendo
Mi Sina la kusema mkuuKwa hiyo?
Unataka kusemaje hapa mkuu
Mohamed Said atakwambia Bakwata ni Tawi la Serikali, rightly so...Bakwata wako kimya wanatumbua pesa.
Anasema mitano tena kwa mama.Sheikh Mkuu anasemaje?
Safi sanaaa!kwenye suala la ugaidi,awe sheikh/askofu/imam/padri wote sukuma ndani piga kitanzi!!kazi kuua tu watu wasio na hatia!!km mnataka kuua chukueni silaha mkavamie lugalo lkn sio kupanga njama za kuua watu wasio na hatia
Safi Magufuli (R.I.P)
Safi Samia
Sukuma ndani wote bila kujali hadhi,dini wala kabila
Sasa wana shida gani siwakinyongwa wanaenda peponi kupewa mabikra 72Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa
Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.
Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.
MASHEIKH wengine bado wanasota jela.