Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni Mungu tu mwanadamu hana.Infact kama akiwanyonga atakuwa ametafuta ugomvi na uadui na Mungu.After all atapata faida gani akiwanyonga,nothing.Mtu mwenye akili hafanyi jambo lisilo na faida.Afikirie mara mbili kufanya uovu huo.
Wao walipoua vipi wao walikuwa na haki?

Gaidi akiua ana haki serikali ikimnyonga haina haki?
 
M



Akili za kuambiwa changanya na zako! Hii ni kutaka ku- justify kuwa kesi ya UHAINI lazima unyongwe. Maanake ni kuwa hata Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwa kesi ya KUGHUSHI ya uhaini alopewa lazima na yeye anyongwe!!!
mnajidanganya sana hapo kwa lissu , lissu yeye anapotezewamuda tu hii kesi itafika mwaka 2026, we fikiria kila ikienda mahakamani kuna pingamizi nalo inakuwa kesi ya kufanyia maamuzi inapigwa kalenda yaani hapo hata kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa yaani mpaka kesi ianze kusikilizwa mwezi wa kumi huko yaanai lissu atanyooka tu mpaka akiitwa ikulu atakimbilia huko kama alivyofanywa mbowe kwenda kukaa mezani sasa uongea hii kesi siyo ya kuisha leo wala kesho
 
Hata angekuwa ni Mchungaji kama amekutwa na hatia apewe kinachomstahili,tusitake kutengeneza mazingira ya kutafuta huruma ya kidini.Kam out ya viongozi. Kama yupo anayeona hao hawana hatia apeleke ushahidi wa wale anaodhani wanapaswa kuhukumiwa badala ya hao.
 
mnajidanganya sana hapo kwa lissu , lissu yeye anapotezewamuda tu hii kesi itafika mwaka 2026, we fikiria kila ikienda mahakamani kuna pingamizi nalo inakuwa kesi ya kufanyia maamuzi inapigwa kalenda yaani hapo hata kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa yaani mpaka kesi ianze kusikilizwa mwezi wa kumi huko yaanai lissu atanyooka tu mpaka akiitwa ikulu atakimbilia huko kama alivyofanywa mbowe kwenda kukaa mezani sasa uongea hii kesi siyo ya kuisha leo wala kesho
Siyo Lissu
 
Hao walikua wanaondoka na kijiji zenji kisiasa,wakiunganisha wazenji kupitia dini
Sio uhamsho wale ‘bi-tozo’ alipoingia tu aliwatoa japo makosa yao walikuwa wanafanya mchana kweupe.

Hawa ni masheikh wa bara
 
Sheikh wa kweli hii nchi ni Sheikh Ponda tuu. Pandisheni nakala ya hukumu tuisome.
 
Hebu nikumbushe kesi yao
Sina uhakika hawa ni masheikh gani wanao ongelewa habari aipo kamili. Kuna masheikh Arusha walikamątwa kwa ugaidi na kuna masheikh wa Kibiti.

Lakini uamsho wao ilikuwa kuleta vurugu Zanzibar kutaka kuuvunja muungano, kutotaka wabara kwenda kwao, walikuwa wanaenda neighbourhood za wakristo na kufanya fujo, washachoma makanisa, ilikuwa ni vurugu machi hadi Lowassa ikabidi aache kula Christmas Monduli aende Zanzibar kutoa support nadhani ilikuwa 2013 or 2014.

JK akaamuru wakamatwe wapelekwe bara, funguo akazitupa; mpaka Samia alipoingia kwa makubaliano na Othman Masoud akawatoa ila wakipata uhuru watulie. Uamsho walikuwa pro-CUF/ACT.

Hao waliohukumiwa kunyongwa wangekuwa wazanzibari Othman Masoud na ACT wasingekuwa kimya.
 
Sijawai kuona au kusikia BAKWATA inatetea hata waislamu achilia mbali wakristo ambao hawana umhimu kwao
 
Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa

Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali.

Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru.

MASHEIKH wengine bado wanasota jela.

Check and bala hakuna kitu hapo porojo tu. Mlengwa ni TAL
 
“Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa” hii kauli inatisha sana but kinachowafariji ndugu wa mlengwa hii hukumu bongo haitekelezwi.

Ni wakati mgumu mno kupitia hali hii.
Heri ya kunyongwa kuliko kuishi maisha ya kutengwa kwenye selo ambako huitwa 'condemn' kwa maisha yote!
 
" UTAWALA WA SAMIA SASA KUWANYONGA".
Umelitoa wapi hili?
 
Back
Top Bottom