Assalam aleykum !
Kuna kitu kinanikwaza kidogo nashindwa elewa kwa uelewa wangu mdogo madrasa zetu tunavyofundishwa kuhusu Dini tunafundishwa Dini ya kweli na ya Haki ni Uislamu.
Mihadhara na mawaidha yote tunayohudhulia neno ni hilo kwamba Ukristo sio dini ni imani na kipindi cha nyuma maeneo ya mwembe chai tumeshuhudia sana na kushinda kwa hoja hiyo na kuwasilimisha kwa wingi sana.
Ila naonaga hafla za kiserikali kunakuwa na pande mbili Ukristo na Uislam (viongozi wake) kama kipindi cha kati kumetokea sana kuliombea Taifa kwa matatizo ya Kidunia yaliyotokea
Katika hafla hizo nawaona viongozi wangu wa dini ya kiislam wakitoa salaam ya kiislam na kikiristo na kutambua uwepo wao hii imekaaje?
Wabillah tawfiq