Huu uzi nahisi harufu ya udini mkubwa sana maana ukisoma nia na madhumini ya mleta mada Wala sio kuulizia hayo anayouliza bali yeye ana msimamo wake aliokaririshwa huko madrasa sasa hapendi yanayotendeka na viongozi wa serikali.
Labda nikushauri tu wewe mfiadini, hii imani uliyokaririshwa na maustadh kwamba ukristu sio dini nadhani tuache tunaoamini kwenye ukristu wetu na hatuhitaji kushika majambia au mabomu kukulazimisha uamini, relax acha makasiriko, wewe amini unayoamini na isiwe tatizo Kama utaenda mbinguni ni wewe na kama ni motoni ni wewe.
Nakushauri hamia nchi zenye uislam haswa kule kwa waarabu wenzio maana unajiona umekuwa mwarabu sana kiasi ya kukwazwa mno ukiona wakristo, nachelea kusema unaweza kuwa na uwezo wa kulipia wakristo makanisani maana una hasira nao sana.
Ushauri wangu kwako ni kwamba; punguza kujiona upo mbinguni na endelea kuwa na kiu ya kujua neno la Mungu zaidi maana itakusaidia kwenye maisha yenye utakaso na sio kufikiria kuchinja wenzio maana unaonekana unakerwa sana pale serikali inapotambua dini zote.
Pia ningependa nikushauri tu, serikali haina dini kwa hiyo sio sababu Samia ni muislam mwenzio basi unadhani ataamua nchi iendeshwe kwa jambia na kulazimishana imani yako kama ambavyo unatamani iwe hivyo au ukristu ustambuliwe kabisa sababu wao ni makafiri Kama ulivyofundiahwa na hao maustadh waliokujaza chuki.
Pia jifunze kuheshimu dini na imani za wengine itakusaidis uione mbingu maana fungu kuu la imani ya dini ya kweli ni upendo, ukimpenda binadamu mwenzio utahakikisha unamhubiria neno la Mungu kwa upendo ili asiteketee kama kweli dini yako ndio itakupeleka mbinguni.