mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Kuna watu wanapindisha kwa makusudi hoja yako wewe unachataka kujua vipi wakiwa misikiti, mihadhara na madrasa waukatae ukristo kua si dini, ila kwenye hafla za kiserikali wautambue ukristo kua ni dini?.Elewa nilichomaanisha sijakataa kuishi na jamii sio ya kiislam ila kiongozi wa kiislam ambae anaamini ukiristo sio dini kwa vitabu ila mbele ya hadhara anayoingoza ana kiri kuutambua
Upi msimamo wao???
Elewa kwanza Mtume wetu alikua anasambaza dini na mafundisho ya kiislam na uislam hautamki mdhuru asiye muislam au usiishi na asiye muislam
Mada hii kuhusu ndimi zao kutamka kuutambua ikiwa wao viongozi wetu na wanajua wazi...
Nadhani hoja yako iko hapo