Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu hajawahi kumpenda mwafrika..ila waafrika kila siku kujipendekeza na kujifanya miarabu miyeusi hata huku tu huwezi ona mwarabu aozeshe mtoto wake kwa blak hata kama ashike vipi dini.Jibuni swali kwanini hawakimbilii MECCA , au oman na nchi nyingine ambazo uislamu ndio dini ya nchi
[emoji851][emoji851]Assalam aleykum !
Kuna kitu kinanikwaza kidogo nashindwa elewa kwa uelewa wangu mdogo madrasa zetu tunavyofundishwa kuhusu Dini tunafundishwa Dini ya kweli na ya Haki ni Uislamu
Mihadhara na mawaidha yote tunayohudhulia neno ni hilo kwamba U’kristo sio dini ni imani na kipind cha nyuma maeneo ya mwembe chai tumeshuhudia sana na kushinda kwa hoja hiyo na kuwasilimisha kwa wingi sana
Ila naonaga ghafla za kiserikali kunakuwa na pande mbili Ukristo na Uislam (viongozi wake) kama kipindi cha kati kumetokea sana kuliombea Taifa kwa matatizo ya Kidunia yaliyotokea
Katika ghafla hizo nawaona viongozi wangu wa dini ya kiislam wakitoa salaam ya kiislam na kikiristo na kutambua uwepo wao hii imekaaje?
Wabillah tawfiq
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwanini waarabu wengi wenye dini yao hawanaga sijda?
Umejuaje kuwa hao viongozi unaowataja wanaamini unachokiamini?Elewa nilichomaanisha sijakataa kuishi na jamii sio ya kiislam ila kiongozi wa kiislam ambae anaamini ukiristo sio dini kwa vitabu ila mbele ya hadhara anayoingoza ana kiri kuutambua
Upi msimamo wao???
Elewa kwanza Mtume wetu alikua anasambaza dini na mafundisho ya kiislam na uislam hautamki mdhuru asiye muislam au usiishi na asiye muislam
Mada hii kuhusu ndimi zao kutamka kuutambua ikiwa wao viongozi wetu na wanajua wazi...
Amani ya bwana iwe nanyi ni tafsiri ya kiswahili ya assalaam alaykuumHao mashekhe unawaona dini yao ipo kwenye matumbo yao we soma uslam wako sio mashekhe wako njaaa nyng sana ALLAH atuongoze
Waarabu hawamiliki dini yoyoteHivi kwanini waarabu wengi wenye dini yao hawanaga sijda?
Tatizo binadamu za siku hizi ni wabishi sana [emoji3][emoji3]Ngoja waje kukupa muongozo...
Kuna nyuzi ukifungua ni lazima ujilaumuAssalam aleykum !
Kuna kitu kinanikwaza kidogo nashindwa elewa kwa uelewa wangu mdogo madrasa zetu tunavyofundishwa kuhusu Dini tunafundishwa Dini ya kweli na ya Haki ni Uislamu
Mihadhara na mawaidha yote tunayohudhulia neno ni hilo kwamba U’kristo sio dini ni imani na kipind cha nyuma maeneo ya mwembe chai tumeshuhudia sana na kushinda kwa hoja hiyo na kuwasilimisha kwa wingi sana
Ila naonaga ghafla za kiserikali kunakuwa na pande mbili Ukristo na Uislam (viongozi wake) kama kipindi cha kati kumetokea sana kuliombea Taifa kwa matatizo ya Kidunia yaliyotokea
Katika ghafla hizo nawaona viongozi wangu wa dini ya kiislam wakitoa salaam ya kiislam na kikiristo na kutambua uwepo wao hii imekaaje?
Wabillah tawfiq
Na ulaya hawawataki waislam sasa wanang'ang'ania nini??!!!waende uarabuni kwani huko hakuna maisha🤣🤣🤣🤣Wanaenda huko kwa ajiri ya maisha sio kidini ila kuhiji huwa wanaenda Saudia Arabia sio Ulaya au kwengineko.
Unajipa moyo sana kwa habari za kusadikika🤣🤣🤣 tembea uone wanavyotimuliwa hao waislam wenzako ulaya huko, hizi habari za kutengeneza usishadadie ni fake nyingi tuNa hao wazungu nao wapo busy kusilimu kila siku wanakuwa Waislamu. Kote Ujerumani, Uingereza na Ufaransa Kuna Atleast Raia laki moja ambao wamesilimu kuwa waisilamu
![]()
Being German, Becoming Muslim
press.princeton.edu
Tena kapewa na hao wanaoita makafiri🤣🤣🤣😁 ila waislam hovyo kichizi utakuta anaita watu makafiri huku kavaa suti na simu za makafiri mkononi😂😂😂😁😁 chenga sana hawajielewi kabisaa ndio maana wanadharaulika sanaHuoni mpaka shekh mkuu wa jiji la maraha shehena Alhadi mussa Salum nae kapewa udokita wa heshima😂😂
Kama mungu wao wa kweli kwa nini asiwape maisha huko huko kwao,Wanaenda huko kwa ajiri ya maisha sio kidini ila kuhiji huwa wanaenda Saudia Arabia sio Ulaya au kwengineko.
Hawa waislamu wa mkuranga tabu kweli. Kuna jamaa tulikuwa nae Pugu miaka hiyo shule anasema hata kuimba wimbo wa taifa ni Ukafiri. Kuna siku timu ya taifa ya Saudi Arabia ilicheza wakaimba wimbo wao was taifa.[emoji2][emoji2] Hao hao viongozi unaowasema mleta mada bado wana watoto wao wanasoma Saint Francis !!
Wanaamini Mungu wao aliumba dunia nzima na si nchi yao tu na ni Mungu wa dunia nzima hivyo popote wanaweza kwenda.Kama mungu wao wa kweli kwa nini asiwape maisha huko huko kwao,