MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Dini tumeletewa na wageni leo tunagombana wenyewe kwa wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nakubaliana na wewe kuhusu waislamu kuamini dini yao ndio dini ya kweli na kuona zengine zote ni za uongo, nitajaribu kueleza moja ya sababu ambayo nadhani huchangia waislamu kujiona hivyo.Huwa najiuliza ni kitu gani kinawafanya waislam waamini kuwa dini yao ni ya kweli na dini nyingine sio za kweli. Ukijaribu kuisoma vizuri imani hii ya kiislam ukiwa na open mind utagundua ina mapungufu makubwa sana kuifanya kuwa dini ya kweli ukilinganisha na dini nyingine kama wafuasi wake wanavyoinasibisha.
Hebu ngoja niishie tu hapa nikajenge taifa langu kwanza, lakini naomba tusibaguane ndugu zangu.
Kwani mbona hao wazungu wapo huko arabuni,india,china na hadi afrika?Na ulaya hawawataki waislam sasa wanang'ang'ania nini??!!!waende uarabuni kwani huko hakuna maisha🤣🤣🤣🤣
Sasa mkuu hiyo suti ya kafiri imetengenezwa na nani na Gwajima au Lusekelo? haha natania.Tena kapewa na hao wanaoita makafiri🤣🤣🤣😁 ila waislam hovyo kichizi utakuta anaita watu makafiri huku kavaa suti na simu za makafiri mkononi😂😂😂😁😁 chenga sana hawajielewi kabisaa ndio maana wanadharaulika sana
Mkuu jaribu kuvaa viatu vya hao viongozi (fikiri ni wewe ndio umekua kiongozi mfano rais) ukishakua kiongozi kikatiba wewe ni kiongozi wa watu wote bila kujali tofauti zao za kiimani au kikabila.Elewa nilichomaanisha sijakataa kuishi na jamii sio ya kiislam ila kiongozi wa kiislam ambae anaamini ukiristo sio dini kwa vitabu ila mbele ya hadhara anayoingoza ana kiri kuutambua
Upi msimamo wao???
Elewa kwanza Mtume wetu alikua anasambaza dini na mafundisho ya kiislam na uislam hautamki mdhuru asiye muislam au usiishi na asiye muislam
Mada hii kuhusu ndimi zao kutamka kuutambua ikiwa wao viongozi wetu na wanajua wazi...
serikali haina dini,hivyo wakiwa katika shughuli zao dini huwekwa pembeni ili mengne yapiteKuna watu wanapindisha kwa makusudi hoja yako.wewe unachataka kujua vipi wakiwa misikiti,mihadhara na madrasa waukatae ukristo kua si dini,ila kwenye hafla za kiserikali wautambue ukristo kua ni dini?.
Nadhani hoja yako iko hapo
DahWanaamini Mungu wao aliumba dunia nzima na si nchi yao tu na ni Mungu wa dunia nzima hivyo popote wanaweza kwenda.
Mkuu jaribu kuvaa viatu vya hao viongozi (fikiri ni wewe ndio umekua kiongozi mfano rais) ukishakua kiongozi kikatiba wewe ni kiongozi wa watu wote bila kujali tofauti zao za kiimani au kikabila.
unapokua kiongozi serikalini, unakua kiongozi wa watu wote, (zingatia point hii "KIONGOZI WA WATU WOTE") So ni lazima utambue imani au kabila zao kwa utofauti wao bila kuonesha upendeleo wowote. Je wewe ungekua kiongozi mfano rais ungetambua watu wa jamii ya imani au kabila lako tu?
Mtoa mada salamu hii ya "Asalaam aleikum" kiswahili chake ni " Amani iwe juu yenu"Mkuu nimejaribu kuongelea viongozi wetu wa dini nchini
Bora ufiche ujinga wako, unajua domain ya. Edu? Hakuna Habari fake na za kutengeneza hizo Ni tafiti za vyuo,Unajipa moyo sana kwa habari za kusadikika🤣🤣🤣 tembea uone wanavyotimuliwa hao waislam wenzako ulaya huko, hizi habari za kutengeneza usishadadie ni fake nyingi tu
Kiukweli ni copy anda paste ya uyahudi..ila hiyo copy and paste ilifanywa na vilaza..Huwa najiuliza ni kitu gani kinawafanya waislam waamini kuwa dini yao ni ya kweli na dini nyingine sio za kweli. Ukijaribu kuisoma vizuri imani hii ya kiislam ukiwa na open mind utagundua ina mapungufu makubwa sana kuifanya kuwa dini ya kweli ukilinganisha na dini nyingine kama wafuasi wake wanavyoinasibisha.
Hebu ngoja niishie tu hapa nikajenge taifa langu kwanza, lakini naomba tusibaguane ndugu zangu.
Miaka kadhaa iliopita uisilamu haukuwa dini hata ya 3 duniani, Sasa hivi Ni Ni dini ya pili na trend inavyokwenda soon by 2050 itakuwa dini ya kwanza duniani.Huwa najiuliza ni kitu gani kinawafanya waislam waamini kuwa dini yao ni ya kweli na dini nyingine sio za kweli. Ukijaribu kuisoma vizuri imani hii ya kiislam ukiwa na open mind utagundua ina mapungufu makubwa sana kuifanya kuwa dini ya kweli ukilinganisha na dini nyingine kama wafuasi wake wanavyoinasibisha.
Hebu ngoja niishie tu hapa nikajenge taifa langu kwanza, lakini naomba tusibaguane ndugu zangu.
Assalam aleykum !
Kuna kitu kinanikwaza kidogo nashindwa elewa kwa uelewa wangu mdogo madrasa zetu tunavyofundishwa kuhusu Dini tunafundishwa Dini ya kweli na ya Haki ni Uislamu
Mihadhara na mawaidha yote tunayohudhulia neno ni hilo kwamba U’kristo sio dini ni imani na kipind cha nyuma maeneo ya mwembe chai tumeshuhudia sana na kushinda kwa hoja hiyo na kuwasilimisha kwa wingi sana
Ila naonaga ghafla za kiserikali kunakuwa na pande mbili Ukristo na Uislam (viongozi wake) kama kipindi cha kati kumetokea sana kuliombea Taifa kwa matatizo ya Kidunia yaliyotokea
Katika ghafla hizo nawaona viongozi wangu wa dini ya kiislam wakitoa salaam ya kiislam na kikiristo na kutambua uwepo wao hii imeka
Usifosi utachekwa weweBora ufiche ujinga wako, unajua domain ya. Edu? Hakuna Habari fake na za kutengeneza hizo Ni tafiti za vyuo,
Wazungu wakienda uarabun wanaenda kutalii tu na kazi kisha wanarudi, na nchi nyingine ulizotaja wapo wakristo wengi sana tu so tamaduni mchanganyiko tofauti na uarabuni, tofauti na hao muslims wanakimbilia ulaya sio kikazi bali wanataka kukaa kabisa ulaya😂😂😁😁 hapo ndio tatizoKwani mbona hao wazungu wapo huko arabuni,india,china na hadi afrika?
Kwa hiyo unataka wakrito wasitambulike nchini kwao..!? Au unataka Tanzania iendeshwe ki SHARIA..?Assalam aleykum !
Kuna kitu kinanikwaza kidogo nashindwa elewa kwa uelewa wangu mdogo madrasa zetu tunavyofundishwa kuhusu Dini tunafundishwa Dini ya kweli na ya Haki ni Uislamu
Mihadhara na mawaidha yote tunayohudhulia neno ni hilo kwamba U’kristo sio dini ni imani na kipind cha nyuma maeneo ya mwembe chai tumeshuhudia sana na kushinda kwa hoja hiyo na kuwasilimisha kwa wingi sana
Ila naonaga ghafla za kiserikali kunakuwa na pande mbili Ukristo na Uislam (viongozi wake) kama kipindi cha kati kumetokea sana kuliombea Taifa kwa matatizo ya Kidunia yaliyotokea
Katika ghafla hizo nawaona viongozi wangu wa dini ya kiislam wakitoa salaam ya kiislam na kikiristo na kutambua uwepo wao hii imekaaje?
Wabillah tawfiq
Kutafuta maisha kwa makafiri?Wanaenda huko kwa ajiri ya maisha sio kidini ila kuhiji huwa wanaenda Saudia Arabia sio Ulaya au kwengineko.
Yaani walivyoigeuza maneno katika Bibilia wanajaribu kuigeuza na Quraan, hilo haiwezekani