YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mleta mada ukitaka ukae na uislamu wako usifanye kazi ya serikali uislamu hutauweza
Serikali haina dini
Fikiria bajeti ya setikali ya mama samia inaendeshwa. Kwa kodi za viwanda vya pombe na bar na kodi za wauza kitimoto!!!
Fikiria umeajiriwa Shirika la Ndege la ATCL kama rubani umebeba pombe kwenye ndege na abiria walevi na wanakunywa pombe ndani ya hiyo ndege unayoendesha!!!
Haya umepewa ukurugenzi TRA kazi yako kuhakikisha kodi stahiki kwa serikali zinalipwa na ajiba chapombe wenye bar na viwanda vya pombe
Chukulia umepewa kazi wizara ya fedha moja ya kazi yako kutengeneza bajeti ambayo mojawapo ya vyanzo vya mapato ni pombe
Fikiria wewe Raisi bajeti ili itumike Raisi lazima aidhinishe unatia sahihi kukubali kuwa bajeto hiyo naidhinisha ambayo mojawapo ya vyanzo vya mapato ni pombe!!!
Fikiria hata umepewa kazi ya ukaguzi mkuu wa Serikali ukikagua TRA mfano kama iko vizuri ni pamoja na kuhakikisha ilikusanya sawasawa mapato ya walipa kodi wakubwa kama viwanda vya bia!!! Na kama ushuru stahiki ulilipwa kwenye pombe zilizoingizwa nchini kupitia bandari nk
Kifupi kazi nyingi serikalini ni mtego kwa watu wenye imani kali za kidini.
Kutekeleza imani zao kikamilifu si rahisi sana hata awe na sigda usoni ya swala tano kuiona pepo kwake si rahisi
Hivyo njia bpra ni kujiajiri ufanye kile kisichokwaza imani yako
Waliojiajiri wengi waweza iona pepo.Lakini wa serikalini ndege mitego ya imani mingi mno na kuikwepa si rahisi
Hivyo ushauri wangu kama wewe mtu wa imani kali ya kidini tafuta kitu kingine cha kufanya sio ajira serikalini