Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakuelekeza wewe unaye wahusisha hao washirikina na Allah ni vitu viwili tofaut
Wao ndiyo wamesema hivyo siyo mimi au wewe umewaelewaje? Kwasababu wamefanya ibada na anayepaswa kuabudiwa ni Allah sasa kama ibada inahusu kumuomba Allah ili majini yamlinde Samia maana yake Allah ndiye mmiliki wa hayo majini, hivyo wewe ulipaswa uwa challenge hao mashekhe kwa unajisi Uislamu na siyo kutukana dini za watu wengine.
 
Haya maombi ya kishetani yanapaswa kwenda kufanyiwa kwao huko Zanzibar..

Dini yoyote isiyomtambua (kumkiri) Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi, dini na watu hao ni wana wa Ibilisi wenye roho ya Mpinga Kristo ndani yao..

Tanganyika hatuko tayari na hatutaki kabisa kuongozwa na Rais mwabudu majini (roho wachafu wa kishetani) na masanamu na miungu ya mabaali..

Mimi kila wakati nasema huyu mama amebeba na anaendeshwa na roho chafu ya Jezebel.

Kiti kikuu cha Ikulu yetu kimekaliwa na shetani mwenyewe wa kike. Uthibitisho ni huu, wafuasi wake wamejidhihirisha waziwazi..!
 
Sasa Jesus anaingiaje hapa kwenye kauli ya mashekhe wako kusema wanamuomba Allah ili majini yamlinde Samia?
Usiumie kukashifiwa kwa imani yako ukiwa wewe hauheshimu imani nyingine.. wa kuwaatack ni hao bakwata na sio Allah
 
Ni wew Ndio umetoa hyo conclusion na sio hao wanafki hakuna hyo kauli.. na ukiendelea kukashifu dini nyingine kuwa tayari na yako kukashifiwa..
 
Wazungu wamekulisha unga wa ndere hauna tofauti na zwangendaba
 
Hawa ndiyo wataalama wa kura za maruhani
 
Ni wew Ndio umetoa hyo conclusion na sio hao wanafki hakuna hyo kauli.. na ukiendelea kukashifu dini nyingine kuwa tayari na yako kukashifiwa..
Basi kumbe una tatizo la kuelewa kwaheri. Mashekhe wamemuomba Allah awape majini ya kumlinda Samia. Mimi ni muumini wa mizimu hizo dini zenu za kutoka Mashariki ya Kati mtajijua wenyewe ila tu mashekhe ubwabwa wako wanaomba majini toka kwa Allah.
 
Waisalamu na majini ni kama kuku na yai. Rais Sa100 tayari ana majini ya kutosha lakini bado wanataka kumuongezea mengine. Si yatamuua jamani?
 
Basi kumbe una tatizo la kuelewa kwaheri. Mashekhe wamemuomba Allah awape majini ya kumlinda Samia. Mimi ni muumini wa mizimu hizo dini zenu za kutoka Mashariki ya Kati mtajijua wenyewe ila tu mashekhe ubwabwa wako wanaomba majini toka kwa Allah.
Basi muabudu mizimu usiumie yesu wa kizungu kuwa na undugu na James delicious
 
Nakuelekeza wewe unaye wahusisha hao washirikina na Allah ni vitu viwili tofaut
Kwenye uislamu kuna majini mazuri na mabaya. Hao mashekh wapo sawa 100% wamaagiza majini mazuri kumsaidia Samia.
Kwenye Quran kuna aya ya majini
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Nakazia hapo
 
Unga dots... hawataki Dr Slaa akae uraiani.. ataharibu majini yao.. wamemkataza Prof mkenda kuingia ikulu..ataharibu majini
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Wanapokea bwana sema lazima pawe na something in return, Lazima kuwe na maagano which is a bad things
 
Jini linakaa mfukoni kweli?(sio kwamba huu ushirikina sasa au hirizi)

Hawa masheikh napata hofu kama hawajatumika kwenye siasa basi kuna shida sehemu
Dini zote zipo kwaajili ya kutumika kisiasa Lengo la kuundwa kwake ni kusaidia mamlaka katika kuweza kutawala Raia Kwa wepesi
 
Kwenye uislamu kuna majini mazuri na mabaya. Hao mashekh wapo sawa 100% wamaagiza majini mazuri kumsaidia Samia.
Kwenye Quran kuna aya ya majini
hakuna usawa kwenye hilo mzee yeye anasema nimewaumba binadamu na majini ili waniabudu kazi ya jini sio kukusaidia wewe

Yey Ndio tuna muomba msaada na yeye Ndio tuna muomba usaidizi

Kuomba usaidizi kwa vitu tofauti ni kumshirikisha (na Shari za wenye kufunga mafundo “ilizi, majini mizimu masanamu” ni dhambi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…