Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ushirikina nchi hii kwa viongozi ni jambo la wazi kabisa.
 
Kwahiyo malaika ndio wanafaa kuombwa? Tatizo hamsomi kwa kuelewa mnakurupuka tu kisa mmeona wametajwa majini, nyie ndio mnatuambia kuwa hao majini ni malaika na kila mkiambiwa kuwa majini ni viumbe tofauti na malaika ambao hawamuasi Mungu hamuelewi.
Wewe mwenyewe umeongea takataka tu
 
Back
Top Bottom