BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Aisee kwahiyo hayo majini mahaba nayo yatapiga kura!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAunga mkono,hoja yako.Ungekua na elimu ungejua kua msingi wa kwanza wa uislam, ni kuamini “HAKUNA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUA ALLAH NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE”
Shahada hiyo kwa Allah inajulikana kama Tauhidi,
Tauhidi ni
1. Kujua Mungu ni mmoja
2. Ibada zote na dua kua kwake yeye na si kitu kingine
3. Sifa zote kwake yeye.
Anything else other than that ni Ushirikina.
Chuki ikizidi inaondoa akili. Pumbafu wewe
Yesu alibebwa na jini,akaonyeshwa dunia nzima.Kumbuka Yesu,alikuwa karibu na majini.Mpaka wakambeba.waisilam na majini ni kama samaki na maji. Huwezi kuvitenganisha
Labda unamzungumzia Issa bin mariam lakini sio Yesu Kristo wa NazarethYesu alibebwa na jini,akaonyeshwa dunia nzima.Kumbuka Yesu,alikuwa karibu na majini.Mpaka wakambeba.
Raisi wa majini.......SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Hatuna muda mchafu....Mapadri na wao watoke wamuombee lissu ashinde majini iwe ngoma droo
Mkuu Ijumaa leo, tumekusanyika ...Vita unaweza ?waisilam na majini ni kama samaki na maji. Huwezi kuvitenganisha
Fala ww!Enzi hizo. Hivi sasa chadema inapendwa na watu wa fujo
Vita gani?! Kwani ni uongo?Mkuu Ijumaa leo, tumekusanyika ...Vita unaweza ?
Kila uzi humu una sema Lissu anaombewa sana. Ni mtu wa mungu.Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?
Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Pata somo kutoka kwa FaizaFoxy adriz Ritz Malaria 2 kuhusu majini wabaya na majini wazuri.Aliyesema majini yamuombee Samia ni Shk.Masoud Jongo Imamu wa msikiti wa Manyema siyo Sheikh wa mkoa,hata hivyo hawa watu wanatudhalilisha Waislamu wote na kuonekana washirikina kwa sababu ya njaa zao binafsi.
Sio majini tu na malaika pia.Aisee kwahiyo hayo majini mahaba nayo yatapiga kura!!
Ni uchache wa Elimu na uchawa uliopitiliza ukiona mtu , analeta mafungamano kati ya majini na Wanadamu huyo ni mshirikina . Hakuna ushirikiano kati ya majini na wadamamu jap wapo Wema na waovu.
Magufuli ni kiongozi wa malaika huko.Raisi wa majini.......
Mimi sina haja ya somo kutoka kwa yeyote wewe unayeona wao ndiyo wajuaji endelea nao.
Ila CCM buana, mara Kiongozi wa Malaika, now wamekuja na singo ya Raisi wa Majini...ilmradi tuMagufuli ni kiongozi wa malaika huko.
Sheikh ni sheikh tu Hamna tofauti ya sheikh mganga wala sheikh mkuu. Wote wafuga majiniTatizo nyie wagalatia mnashndwa kumjua mganga na shekhe..video zipo mbili ya shekhe mkuu na na shekhe mganga
Nikufafanulie kidogo mganga yyt ambaye ni shekhe hana mamlaka ya kusalisha sala sababu yy ameshamkufuru mwenyezimungu hukumu za dini ya kiislam zipo wazi ukipiga ramli ukipima uwezo wa mwenyezimungu umekufuru hivo kama ni shekhe wa msikiti unaondolewa...