Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nikupe mfano mmoja tuu Zambia tuu hapo hakujawahi kuwa na Rais mwislam kumebadilika nini?...mnamzushia Yesu ni mungu ndo mtashndwa kumzushia binadamu?
 
Niliwaambia watu hapa JF kuwa viongozi waislamu ndiyo wanatuhalibia nchi ...wapumbavu wakabisha ...ni vyema waislamu waweke pembeni moja kwa moja kwenye uongozi wowote nchini ...nchi iongozwe na wapagani au wakristo tutafika mbali ila waislamu watakuja kuitumbukiza nchi shimoni
Mbona nchi za Wakristo ndio masikini zaid ata ukienda America ya kusini umaskini umetamalaki tena ni Wakatoriki mnajiona ni Wasomi Tafaut na Nchi za Waislam Waarabu matajili Sana.,, NENDA Malawi wengi Wakristo Wadada wao wamejazana kufanya kazi za ndani apa mjini tofaut na nchi zenye Waislam wengi !!! Zaid duniani mnasifika Viongozi wenu wamakanisa wana makesi tu ya kuwala O sio kwenye Uchumi!!!!
 
Nategemea waislamu mtaandamana Hawa masheikh kuhusisha uislamu na shirki
Muandamane nyinyi mipumbavu mama Samia mitano wewe kapige kula kwa Ukristo wenzio lkn mshindi ni Mama SAMIA utake usitake kuandamana kwenyewe waogo kama paka na maji!!
 
Mmeweza kumzushia Yesu ni mungu mkaona haitoshi kuamina wengine wakasema mwana wa mungu hamkutosheka mkachora na kumchongea katuni pia mkaona havitoshi mkaweka na movie...
Bado hamkurudhika mnasema Yesu anawatokea na kumuota kila pembe ya dunia kila kiongozi wenu wa dini anaongea na Yesu..ajabu sanaa hiyo ndo laana yenu wagalatia mliyopewa uzushi kwa kuwazushiq manabii wa mwenyezimungu.
Juzi tu Papa Francis kaja na uzushi kaongea mungu aruhusu kufungisha ndoa ya jinsia moja...mtashndwa vipi kumzushia mwanadamu?
 
Usiombe kutupiwa jini.
Hata baba wa taifa alikabidhiwa majini bagamoyo mara tu tulipo pata uhuru
 
As long unaonekana hujatembea kabisaa na zaidi umekujaa ushabiki wa dini...kuna mifano mingi sana barani Africa...kumepita Marais wengi tuu ambao wameongoza nchi zao ni wagalatia nini kimebadilika?..
Hapa hapa Tanzania mgalatia mwalimu Nyerere aliongoza nchi hakutaka kupinduliwa?..wewe utabaki ni mwanadamu uwe ni mgalatia au muislam utabaki kuwa na madhaifu na mazuri yako
 
Usipindishe alienda bagamoyo kabla au baada?..na kwa nini hakwnd kanisani?
 
Nyumbani pamenoga, Mwamposa na Gwajima nao wamwombee Maza Malaika wasaidie ashinde😅. Watu wamechanganyikiwa huko nyumbani
 
Hapo Zambia wagalatia watupu wamepiga hatua gani?..
Kenya hapo pia mwanzo mwsh mpk wakauana Rais alikua muislam...nyie wagalatia mmeweza kumzushia Yesu ni mungu mtashndwa vipi kwa binadamu?
 
Ila Papa Francis aliyeongea na mungu afungishe ndoa za jinsia moja...ni safi tuu
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
wameharibu hayo majini ndo yatamnyonya damu na kumpiga chini mapema
 
Let us Pray. 🙏

To our Saints in Heaven git it?
 
Wametajwa na malaika ila sioni kuzungumziwa wanazungumziwa majini tu hii ikoje?
 
Back
Top Bottom