mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Collabo hapo ni ya waganga tupu 😄 wakiongozwa na mkuu hapo mftMasheikh riziki filimanyat
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Collabo hapo ni ya waganga tupu 😄 wakiongozwa na mkuu hapo mftMasheikh riziki filimanyat
Mbona nchi za Wakristo ndio masikini zaid ata ukienda America ya kusini umaskini umetamalaki tena ni Wakatoriki mnajiona ni Wasomi Tafaut na Nchi za Waislam Waarabu matajili Sana.,, NENDA Malawi wengi Wakristo Wadada wao wamejazana kufanya kazi za ndani apa mjini tofaut na nchi zenye Waislam wengi !!! Zaid duniani mnasifika Viongozi wenu wamakanisa wana makesi tu ya kuwala O sio kwenye Uchumi!!!!Niliwaambia watu hapa JF kuwa viongozi waislamu ndiyo wanatuhalibia nchi ...wapumbavu wakabisha ...ni vyema waislamu waweke pembeni moja kwa moja kwenye uongozi wowote nchini ...nchi iongozwe na wapagani au wakristo tutafika mbali ila waislamu watakuja kuitumbukiza nchi shimoni
Muandamane nyinyi mipumbavu mama Samia mitano wewe kapige kula kwa Ukristo wenzio lkn mshindi ni Mama SAMIA utake usitake kuandamana kwenyewe waogo kama paka na maji!!Nategemea waislamu mtaandamana Hawa masheikh kuhusisha uislamu na shirki
Wewe zwazwa tu la kolokole kazi yako kufanya propaganda viongozi wenu makanisa wachafu sana,,,, lkn umenyuti unatafuta mashekh ile mikesi ya kulawiti watoto imewapalama dunia nzima mbona uleti uzi wake???!!!!!Asante kwa sahihisho.
Mmeweza kumzushia Yesu ni mungu..wengine wakaibuka ni mtoto wa mungu..mkamchora na kumchongea katuni..hamkuishia hapo sahv mnasema anawajia na kumuota...bado kusema mmelala naye tuuWakristo hatuna vita ndogo
wameharibu hayo majini ndo yatamnyonya damu na kumpiga chini mapemaMashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?
Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Ametaja na malaika.Sasa nani atamlinda zaidi kati ya Mwenyezi Mungu na majini?
Ametaja na malaika si majini tu pekee yake.Hayo majini ni waalimu, mapolisi na watendaji 🤣