Neno utatoa wapi ww!!! Walokole Ni tatizo kubwa kafanye kazi ww neno litakusaidia nn kufakala wwKabsa Mkuu! Sisi tunaomba ulinzi wa Mwenyezi Mungu! Shughuli ya Malaika Mikaeli wataisoma namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno utatoa wapi ww!!! Walokole Ni tatizo kubwa kafanye kazi ww neno litakusaidia nn kufakala wwKabsa Mkuu! Sisi tunaomba ulinzi wa Mwenyezi Mungu! Shughuli ya Malaika Mikaeli wataisoma namba
Majini tena?Hakuna kitu hapo.Imani batili dhidi ya Mungu aliye hai.Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?
Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
Uzi ufungwe.Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
CCM ndiyo inairudisha nyu.a nchi hii.
Sasa mbona sisi tukikemea na kuamrisha mapepo mnakataa utume na unabii wetu?Huyu ni mpumbavu mmoja anajiuta Dr sule.
Anachozungumza siyo sahihi.
Mitume wa Allaah wamepewa miujiza ya kuweza kuongea na kuviamrisha viumbe ambavyo havisikii wala kuongea katika hali ya kawaida.
Baadhi ya mitume waliweza kuviamrisha hata miti na mawe na viumbe hivyo vikawasikiliza mitume na kufuata amri zao.
Nabii Suleiman aliwezeahwa kuzungumza na wanyama wote na alifundishwa lugha za ndege sisimizi na wanyama wengine ikiwa pamoja na mashetani na majini pia aliwezeahwa kuuamrisha hata upepo ufanye anavyotaka na upepo ulifanya.
Mtume صلى الله عليه وآله وسلم hakufuga majini ila kwa uwezo wa Allaah aliweza kuongea nao na kuwadhibiti baadhi ya majini waovu wasifanye kama kupita mbele yake akiwa anaswali na kitendo hiki ni katika miujiza aliyopewa kithibitisha utume na unabii wake na haimaanishi kwamba alifuga majini.
Tukisoma biblia hata Yesu aliyaamrisha mashetani yameache mgonjwa na yahamie kwenye kundi la nguruwe na kitendo kama hicho ni katika miujiza ya kuthibitisha utume na unabii wake na kila mtume na Nabii hupewa miujiza kulingana na hali , mazingira na watu aliotumwa kwao .
Wewe unayeamini kuwa Majini ndo yatamchagua Kiongozi basi ndio huna akiliMashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?
Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Mila za jadi ikaushie, kwenye dini ndio kumejaa misukulenchi hii inarudishwa nyuma na vitu viwili; uislamu wa tanzagiza na mila za jadi …
Wewe unayeamini kuwa Majini ndo yatamchagua Kiongozi basi ndio huna akili
Majini.Ninyi akina nani?