M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Huu udini umefanywa na mashehe, to initiate and spread kwa makusudi kabisa ila lengo la mleta uzi namna alivyowasilisha ni kuwakosoa kwa udini na ushirikina wa hadharani.Mitazamo tofauti na uelewa tofauti pia !
Naendelea kusisitiza kwamba hii itaenda kuwagawa watu wasiwe kitu kimoja katika kufanya maamuzi mwisho wa siku wanufaika siku zote wanafahamika ni wale wale tu !
Watu watasema ni bora wale wale wetu tuliowazoea miaka yote !
Na ndio hasa nia ya waleta mada za Udini Udini kama hizi 😳
Sina shaka juu ya Hilo,Kuna watu hawaelewi kinacho endelea hawaelewi nguvu za Mungu zinazo fanya kazi na mwisho wa huu mtalange utakavyokuwa. Nawaomba msubiri muone wenyewe nadhani sina mengi ila mwaka huu Taifa la Tz litamuona Mungu wakati wa mchana kweupe dunia itajithibitishia Tz sio Taifa la kawaida yupo Mungu tena Mungu wa Israel. Amen
Acha kukwepakwepa stick kwenye mada,kuna sehemu kwenye mada imezungumziwa lgbtq?!,by the way kuna watu wanatafunana visamvu kama wafuasi wa mud?!,mpaka na aya za kuoga hayo majanaba ya liwati mnayoKwhy hiyo clip yametajwa majini?au Samia ndo Rais wa kwnz kuombewa na viongozi wa dini?...uzushi ndo laana mliyopewa wagalatia...kwani uzushi wa Papa Francis awabariki LGBT hukuhusikia?...kwmb aliongea na mungu?
Ungekua na elimu ungejua kua msingi wa kwanza wa uislam, ni kuamini “HAKUNA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUA ALLAH NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE”
Shahada hiyo kwa Allah inajulikana kama Tauhidi,
Tauhidi ni
1. Kujua Mungu ni mmoja
2. Ibada zote na dua kua kwake yeye na si kitu kingine
3. Sifa zote kwake yeye.
Anything else other than that ni Ushirikina.
Chuki ikizidi inaondoa akili. Pumbafu wewe
Amen.MUNGU AKASHINDE KWENYE HILI.
E MUNGU WA MBINGUNI NINAEKUABUDU KATIKA ROHO NA KWELI ONEKANA KWENYE HILI BABA YANGU.
MUNGU HAJAWAHI KUNIACHA NIAIBIKE DAIMA.
Mwambie huyo hajitambui, viongozi wote wangekua wanaapishwa kimila huu ujinga usingekuwepoMila za jadi ikaushie, kwenye dini ndio kumejaa misukule
Kulingana na imani ya kiislamu iliyofundishwa na mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلمyapo hadi majini ya kwenye kikwapa 😂😂😅
Dini imekufanya kuwa mjinga kabisa 🚮😁 ,uzushi uko wapi hapo au unataka kusema hizo clip ni editing?Mmeweza kumzushia Yesu ni mungu mkaona haitoshi kuamina wengine wakasema mwana wa mungu hamkutosheka mkachora na kumchongea katuni pia mkaona havitoshi mkaweka na movie...
Bado hamkurudhika mnasema Yesu anawatokea na kumuota kila pembe ya dunia kila kiongozi wenu wa dini anaongea na Yesu..ajabu sanaa hiyo ndo laana yenu wagalatia mliyopewa uzushi kwa kuwazushiq manabii wa mwenyezimungu.
Juzi tu Papa Francis kaja na uzushi kaongea mungu aruhusu kufungisha ndoa ya jinsia moja...mtashndwa vipi kumzushia mwanadamu?
Lissu atakuwehusha miaka yake mitano ya uenyekiti wa CHADEMA.Lissu ayasambaratishe
Daaah! Ina maana nao hawaamini yale maandiko yasemwayo kuwa yalisemwa na nanihii....kuwa, HALITATENGEMAA JAMBO, AMBALO KIONGOZI MKUU WAO NI MWANAMKE?Hiyo dini ya muarabu ni janga la dunia, sijui alikurupukaje na kuanzisha dini ilhali alikuta dini zingine, imesababisha ujinga, maafa na maushetani ya kila aina
Mbona kama umeumia sana wewe mvaa kobazi?,hio imani unayoitetea huna unasaba nayo lakin mshipa wa matako unavyokutokaHapo Zambia wagalatia watupu wamepiga hatua gani?..
Kenya hapo pia mwanzo mwsh mpk wakauana Rais alikua muislam...nyie wagalatia mmeweza kumzushia Yesu ni mungu mtashndwa vipi kwa binadamu?
Hahahahaha!Wewe nae ni matade unafikiria kwa kutumia mshipa wa t**I,umewekewa mpaka na clip ya viongozi wako halafu unakuja kuandika utumbo hapa,kwahiyo unataka kusema hizo clip ni editing?!
Astaghagirurah!!!!!!!Ni custodian wa majini yote.
Wewe kweli kichwani ni empty 🚮,umeshindwa kuwatetea viongozi wako wanaokujaza ujinga, unakuja na hoja za kipumbavuuIla Papa Francis aliyeongea na mungu afungishe ndoa za jinsia moja...ni safi tuu
Kama siyo wazuri. Kwenye Quran mbona wana aya zao?
Kuna shekh mmoja alisema, yeye aliswali na majini msikiti mmoja.
Aliyeongea maneno yenye Ushirikina ndani yake sio Shehe bali ni mzee muumini tu wa kawaida ambaye kwa yale matamshi yake anajidhihirisha kuwa hana Elimu yeyote ya Dini zaidi ya kwenda kusali tu msikitini !Huu udini umefanywa na mashehe, to initiate and spread kwa makusudi kabisa ila lengo la mleta uzi namna alivyowasilisha ni kuwakosoa kwa udini na ushirikina wa hadharani.
Wapumbavu kama wanapatikana kwenye uisiharamu tu...tatizo lako ujui maana ya kiongozi kwa sababu una akili sawa na wanawakeWew una msongo wa mawazo pumzika kdg kama maiti ya ndugu yako ilizuiliwa muhimbili hilo sio kosa la raisi, kuna uongozi pale hospital raisi ana majukumu zaidi ya hayo..
Watoto wa maraisi kufanya ufisadi haihusiani kabisa na dini unaye muita ridhwani huyo ni kiongoz kwa sasa sijui hzo tuhuma za kumuita fisadi wew Ndio unazifaham,
Nchii hii imekuja kuwa na nafuu kipindi cha mwinyi mzee wa ruksa probably ulikuwa bado mdogo unachezea mikojo huyu ni muislam..
Tunashangaa nini sasa?Hakuna
Wew Ndio choko na jesus wako wote ma chokoWapumbavu kama wanapatikana kwenye uisiharamu tu...tatizo lako ujui maana ya kiongozi kwa sababu una akili sawa na wanawake