Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Au
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Au sio yaani wanatoa maagizo kwa Subiani na Murafari 😃 Ila hawa masheikh wameharibu kabsa
 
Kuna watu hawaelewi kinacho endelea hawaelewi nguvu za Mungu zinazo fanya kazi na mwisho wa huu mtalange utakavyokuwa. Nawaomba msubiri muone wenyewe nadhani sina mengi ila mwaka huu Taifa la Tz litamuona Mungu wakati wa mchana kweupe dunia itajithibitishia Tz sio Taifa la kawaida yupo Mungu tena Mungu wa Israel. Amen
 
Majini ndo yamuokoe?

Wakristo wanaamini majini ni shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…