Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna watu hawaelewi kinacho endelea hawaelewi nguvu za Mungu zinazo fanya kazi na mwisho wa huu mtalange utakavyokuwa. Nawaomba msubiri muone wenyewe nadhani sina mengi ila mwaka huu Taifa la Tz litamuona Mungu wakati wa mchana kweupe dunia itajithibitishia Tz sio Taifa la kawaida yupo Mungu tena Mungu wa Israel. Amen
Peleka ujinga wako huko huyo Mungu wa Israel ndio yupi?,unamjua au wewe ni kabila gan kati ya yale makabila 12 ya israel?
 
hakuna usawa kwenye hilo mzee yeye anasema nimewaumba binadamu na majini ili waniabudu kazi ya jini sio kukusaidia wewe

Yey Ndio tuna muomba msaada na yeye Ndio tuna muomba usaidizi

Kuomba usaidizi kwa vitu tofauti ni kumshirikisha (na Shari za wenye kufunga mafundo “ilizi, majini mizimu masanamu” ni dhambi)
Ni sawa. Kumbuka majini yanauwezo mkubwa kuliko binadamu na wapo wazuri hata kwenye Quran wapo. Wamesilimu na kuwa waislamu.
Kuomba msaada kwao sijaona ubaya ni sawa umeomba msaada kwa ndugu yako tu.
 
Niliwaambia watu hapa JF kuwa viongozi waislamu ndiyo wanatuhalibia nchi ...wapumbavu wakabisha ...ni vyema waislamu waweke pembeni moja kwa moja kwenye uongozi wowote nchini ...nchi iongozwe na wapagani au wakristo tutafika mbali ila waislamu watakuja kuitumbukiza nchi shimoni
Hawawezi kufanya hivyo 🤣🤣🤣🤣

Katika siasa kuna kitu kinaitwa power imbalance unapotaka kutawala lazima uangalie majority ya wananchi wako Wana amini katika Imani gani au wengi wanataka katika Kabila gani , so ukishajua Hiyo number ndio unacheza na Hiyo majority Kwa kujifanya unaipa favour ili waweze kukuunga mkono ktk harakati zako za kisiasa

That's why unaona ktk Taifa hili mapadree na mashekhe wanapewa kipaumbele kikubwa Sana na Serikali Kwa sababu Serikali inajua kwamba dini wanazo zisimamia ndio zina influence kubwa Kwa Raia waliopo nchini na rate Yao kiimani haijaposhana Sana that's why unaona kila baada ya miaka 10 lazima Raisi Abadilishwe kiimani miaka 10 atatokea ktk Cristian then 10 ijayo atatokea ktk uislam unadhani ni Kwanini?? Ni kwasababu ya kumaintain power imbalance Kwa Raia ,

Endapo Hilo likikosekana ni lazima nchi itapata machafuko, Nyerere alikuwa ana Akili Sana kmmk
 
Ni sawa. Kumbuka majini yanauwezo mkubwa kuliko binadamu na wapo wazuri hata kwenye Quran wapo. Wamesilimu na kuwa waislamu.
Kuomba msaada kwao sijaona ubaya ni sawa umeomba msaada kwa ndugu yako tu.
Majini sio viumbe wazuri na Hawajawahi kuwa wazuri maana unapoomba msaada toka kwao ni lazima mpeane maagano , Mwisho wa siku ndio Ile unasikia Ajali haziishi nchini kmmk kumbe Raia wanatolewa kafara kwaajili ya maagano waliyo yaingia Viongoz na majini
 
Sisi binadamu tunamapungufu mengi sana, na huwenda hizi dini zetu kunaupande ni kama huwa tunadanganyana saana

Hawa hawa Mashekhe kipindi Rais Samia anaingia madarakani, walitusomea aya kuwa, Mwanamke kuwa kiongozi mwenye maamzi, yaani Mtawala, Kitabu na Dini ya Mnyaazi Mungu haikubali

Embu ona tena leo walivyomugeuka Huyu Mnyaazi Mungu na Kitabu chake!

Kuna mahali hata Mungu akitutazama anacheeeka na kutudharau sana kwa sababu huwa hatuna tujuacho kumhusu
Ni vichekesho kwa kweli
 
Majini sio viumbe wazuri na Hawajawahi kuwa wazuri maana unapoomba msaada toka kwao ni lazima mpeane maagano , Mwisho wa siku ndio Ile unasikia Ajali haziishi nchini kmmk kumbe Raia wanatolewa kafara kwaajili ya maagano waliyo yaingia Viongoz na majini
Kama siyo wazuri. Kwenye Quran mbona wana aya zao?
Kuna shekh mmoja alisema, yeye aliswali na majini msikiti mmoja.
 
Ni sawa. Kumbuka majini yanauwezo mkubwa kuliko binadamu na wapo wazuri hata kwenye Quran wapo. Wamesilimu na kuwa waislamu.
Kuomba msaada kwao sijaona ubaya ni sawa umeomba msaada kwa ndugu yako tu.
Amelaaniwa yeyote amtegemeaye mwanadamu/majini kwani huko ni kumshirikisha na Mungu wako ana wivu..

Kwenye Quran hakuna sehem inayo sema tumieni majini kwa msaada hakuna

Kama shetani alikuwa malaika hyo ni maana pia kulikuwa na malaika wazuri na wabaya.. pia kuna binaadamu wazuri na wabaya haimaanishi umtegemee mtu mzuri/malaika wazuri kama msaada kwako
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Uchaguzi wa mwaka huu ni baina ya Nuru na giza. Kati ya Mungu wa mbinguni na Mungu ya kuzimu. Nina hakika hakuna giza litakaloishinda Nuru. Mungu wa Mbinguni atabaki kuwa Mungu wa miungu. Kwa kauli ya sheikh wenu CCM mjipange kwa pigo takatifu.
 
Issue ni umemiss point unamu attack mtu asiyehusika. Ungewatukana wale mashekhe ubwabwa ambao wanaunajisi Uislamu kwa sababu ya njaa zao ndiyo ingeleta maana kwa sababu huyo Yesu hakuwa sehemu ya mjadala.
ukileta kesi hatuijadili upande mmoja tu yani ni kinaga ubaga... usitegemeee uongee shit kwenye imani moja then ya pili tuipake uturi

Kila jibu la yesu wa kizungu limetokana na majibu ya comment husika.. ukitukana utatukanwa

Unasema unaabudu mizimu Lkn unaumia kusikia yesu wa kizungu na kashfa zake au unamaanisha lile sanamu la msalabani Ndio mizimu yako?
 
Kule upande wa pili, week/mwezi kadhaa kabla ya uchaguzi utasikia , wanaweza anza mapema kwasababu washagundua wasanii hawana nguvu tena, mpira nao msimu huu haujawa upande wao (Anayevaa jezi yao kachomoka, ila bado watatumika)
  1. "Yesu amenitokea amenionesha..."
  2. "Mungu amesema na mimi kwenye ndoto...."
  3. "Malaika wa mbinguni..."
  4. "...ndiyo chaguo la Mungu"
  5. "Msimruhusu shetani ashinde,,chagueni..."

Muda utakuwa shahidi, viongozi wa dini zote kubwa nchini lazima watumike, huna haja ya kuwalaumu hawa unadhani yule bingwa wa kujaza uwanja atakaa kimya hasa hasa hiki kipindi.

Kuna yule kipenzi cha wadada, kuna kipenzi cha wamama and kuna yule wa Chuga mtawasikia sana. Usiniulize nimejuaje, vitu viko wazi tu.
 
hakuna usawa kwenye hilo mzee yeye anasema nimewaumba binadamu na majini ili waniabudu kazi ya jini sio kukusaidia wewe

Yey Ndio tuna muomba msaada na yeye Ndio tuna muomba usaidizi

Kuomba usaidizi kwa vitu tofauti ni kumshirikisha (na Shari za wenye kufunga mafundo “ilizi, majini mizimu masanamu” ni dhambi)
Ila mbona binaadamu tunasaidiana?
 
Uchaguzi wa mwaka huu ni baina ya Nuru na giza. Kati ya Mungu wa mbinguni na Mungu ya kuzimu. Nina hakika hakuna giza litakaloishinda Nuru. Mungu wa Mbinguni atabaki kuwa Mungu wa miungu. Kwa kauli ya sheikh wenu CCM mjipange kwa pigo takatifu.
Mnapotosha kwa sababu sheikh kawataja majini na malaika kuwa wote waombe Mungu, sasa hapo kuna ushindani gani wa nuru na giza?
 
Back
Top Bottom