Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Najaribu ku imagine this way; muumini mmoja wa Kikristo asimame kanisani halafu asifie uchawi na kumuombea kiongozi yeyote wa Kikristo kwamba mashetani yamlinde, narudia hayo maneno ayatamkie kanisani, waumini wasikie, wapita njia wasikie na ma askofu wa hilo kanisa pamoja na wachungaji wapo humo, najaribu tu ku imagine what will happen. Kuna tofauti kubwa sana kati ya Ukristo na uislamu wallahAliyeongea maneno yenye Ushirikina ndani yake sio Shehe bali ni mzee muumini tu wa kawaida ambaye kwa yale matamshi yake anajidhihirisha kuwa hana Elimu yeyote ya Dini zaidi ya kwenda kusali tu msikitini !
Shehe na mwanazuoni ni yule Mufti aliyeongea mwanzoni na ndio maana huwezi kumsikia akisema Eti majini yamuombee mtu fulani !