Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Aibu hii kwakweli basi wangesema wanamuombea afya njema lkn sio kutumia majini!
 
Sasa baada ya yote haya yaliyomo humu kwenye mjadala na yatakayoweza kuja hapo baadaye ni kwamba tuamini Watu kumbe wanaamini sana kuhusu Ushirikina na wanaamini kwamba Ushirikina unafanya kazi sana sana ??!!
😅😅😅😀

Ndio maana watu wanajazana sana kwenye maombezi !
😅😂 !
Duh 🙄 kama Taifa inaonesha tupo mbali sana kifikra!
 
Hapa ni elimu,jini ni nini,aina ya majini,kazi zao,mapungufu na uzuri wake.
Tuliosoma Alfuleraulera au Harun Rashidi,Hadithi za Waesopo wala hakuna cha ajabu alichodokeza Sheikh mkuu wa Dar.Ndio dunia harisi,wala sio hadithi mchogoko bali hadithi ya kusadikika.
Jaribu kutafuta maarifa kabla ya kulalamika.
Jibu swali mnatumia majini au hamtumii?
 
Kwahiyo ni haramu kuomba msaada kwa majini hata jambo jema?
Huwezi kuomba jambo jema kutoka kwa shetani halafu ukasema upo salama. Hiyo ni sawa na kwenda kwa mchawi kuomba jambo jema.

Majini ni mapepo wachafu ambao wapo kwaajili ya kumtumikia shetani kwa kumwangusha mwanadamu.
 
Wewe uwezo wa kutofautisha jini mwema na jini muovu (shetani ) unautoa wapi bila kuingia katika vitabu vya elimu za uchawi ambavyo ndivyo vinaelekeza namna ya kuanzisha mawasiliano na urafiki na majini?!
Elewa kwamba majini ni jamii ya viumbe tofauti na sisi wanaadamu na wamepewa uwezo wa kutuona sisi ila sisi hatuwaoni, na hao majini wema. Allaah hajawapa mamlaka ya kutatua shida za wanaadamu bali yatakiwa wanaadamu wasaidiane wenyewe kwa wenyewe katika mambo mema, na majini nao wasaidiane wenyewe kwa wenyewe katika mambo mema.
Elimu yoyote inayoelezea namna ya kuanzisha mawasiliano na mahusiano na majini ni katika elimu za uchawi ambazo ni haramu kujifundisha elimu hizo.
Nimeuliza hivyo sheikh wangu kwa sababu mara zote tunaposikia habari za majini basi tunasikia zile za uovu tu hatusikii habari za wema za majini kiasi kwamba mpaka wengine hufikiri majini ni viumbe waovu tu kiujumla hakuna majini wema.
 
Uyo Shekhe JONGO pengine Wasingempa kuongea ingepunguza uyu mlokole na mchungaji kuleta huu Uzi wa propaganda kuusu sijui majini Nk ktk msingi kidini

ata Imam akiwa na matatizo mfano mizozo kwenye Ndoa yake uwa anaomba Imam mwengine ndio atoe mawaiza ikiwa ni siku ya Ijumaa kwamaana anaweza asiwe ktk utimam wa Akili ktk kusimamia anacholenga kutwambia!

Sijui kwengine nako kama kuna huu Utalatibu!!, Shekhe Jongo kaongea kimakosa mbele ya Mufti wetu. Lkn Je Shekhe Jengo,,! kwann muongozaji alimpa Nafasi ya kuongea Wkt uyu Shekhe anamatatizo makubwa kwasasa Kiakili,,!

apo kosa la kwanza ni ili kwanini apewe nafasi mtu mwenye tuhuma kubwa kipindi ichi!!!!!! na niwazi pia atakuwa kazongwa na matatizo makubwa akilini mwake,

Wasiojua nawakumbusha kama week ivi apa apa JF kuna mtu alileta UZI kuwa msikiti wa Manyema kuna watu Wamepiga 2Bilion mzozo ambayo ata Rais MAMA SAMIA kaagiza kupata maelezo

sasa naomba mjue Uyu Shekhe JONGO ndio Imamu mkuu wa uwo msikiti wa Manyema wenye Kashfa kubwa kuwai kutokea ktk Misikiti inayolatibiwa na Bakwata RITA pia wameingilia kati kufanyanyike Uchunguzi ktk iyo Ali vipi mnampa Shekhe Jongo aongee ataongea nini Zaid mashudu!!!

Majini Uslamu unapakaziwa na Wachungaji mizwazwa na milokole vichwani weupe!!! lkn wanajitoa akili ili kufanya propaganda!!! Hoja naomba ajibu mwenye Akili sio ZWAZWA!

ikiwa Waislam ni kweli wanapenda mambo ya Majini na Ushilikina sindio mnavyosema!!!
HOJA mbona pwani yao Waislam akuna matatizo ya watu kuchunwa ngozi ALBINO kuuwawa!!!!! kukatwa viungo!!!! Wabibi zetu kuuwawa!! kisa macho mekundu!!!! Wanaume kukatwa mapumb yakatumike kwenye ushilikina!!!

Mbona aya mambo yote Yanatokea mikoa yenye Wakristo wengi ikiwemo mkoa wa Sumbawanga Shinyanga Mbeya Mwanza yenye pia idadi kubwa ya Wakristo???

Waislam wanatuuma Gani japo moja ili tuunganishe na propaganda zenu tuamini kuwa Waislam washilikina na wana majini au ndio propaganda ya Debe Tupu tuamini!! Aya mwenye Akili Anijibu ili Wasomaji wajue uyu kweli kajibu na Akili Anazo!!! Karibuni Wakristo ?????
 
Mkishindwa kujibu basi Wajibuni Wasomaji wa JAMII FORUMS ivi UKRISTO bila propaganda za Uwongo kuwasingia WAISLAM uwongo

Dini ya UKRISTO itapotea Tanzania au Watu Wanaoamia kwenye USLAMU ndio tatizo kwenu kiasi ya kufanya propaganda za Uwongo
ili kuwabakisha Wakristo ktk Uwongo Uwongo!!! Poleni najua mnatumia nguvu kubwa kufanya propaganda
lkn msichoke kwasasa propaganda yenu imewafikia watu 8000 ukitoa Wanaoludia mumewafikia watu 2500 pengine!!! ktk watu million 60+ !!!!! ongeleni kazi kipimo cha utu
kazi iendelee
Mazwazwa mzigo kwa Taifa
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
CCM ni taasisi konk, yenyewe ni zaidi ya hayo majini yao 😀
 
Nimeuliza hivyo sheikh wangu kwa sababu mara zote tunaposikia habari za majini basi tunasikia zile za uovu tu hatusikii habari za wema za majini kiasi kwamba mpaka wengine hufikiri majini ni viumbe waovu tu kiujumla hakuna majini wema.
Hapana. Majini wema wapo. Na ukisoma suuratul jinni na suuratul Ahqaafu inaonyesha kuwa kuna kundi la majini walikutana na mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم akitoka katika safari yake ya Twaifu akawasomea Qurani na wakasilimu Kisha wakarudi kwa majini wenzao kuwapa ujumbe wa uislamu na Quran.
Suuratul Ahqaafu inaonyesha kuwa majini hawa pia walikuwa wameiamini taurati aliyopewa nabii Musa ndipo baada ya kuisikia Quran wakawaambia majini wenzao katika suuratul Ahqaafu Aya ya 30 kwamba :
{ يَٰقَوۡمَنَآ إِنَّا سَمِعۡنَا كِتَٰبًا أُنزِلَ مِنۢ بَعۡدِ مُوسَىٰ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِ يَهۡدِيٓ إِلَى ٱلۡحَقِّ وَإِلَىٰ طَرِيقٖ مُّسۡتَقِيمٖ }
Enyi jamaa zetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka".
Tunachokataa ni madai ya watu kama akina Dr sule kuwa anawatumia hao majini wema kumletea hela na kumfanyia kazi nyingine.
Watu kama Hawa ni wachawi wanaofanya mikataba na majini waovu ( mashetani ) wawasaidie kitekeleza baadhi ya shughuli ambazo binadamu hawezi kuzifanya.
Hawa majini wema wenye kumkhofu Mola wao hawajishughulishi na mambo yoyote yenye kumhusu mwanadamu kwa sababu Allaah hakuwapa jukumu hilo kama ambavyo sisi wanaadamu hatukupewa jukumu la kuwasaidia majini jambo lolote na wao kwetu ni hivyohivyo.
 
Huwezi kuomba jambo jema kutoka kwa shetani halafu ukasema upo salama. Hiyo ni sawa na kwenda kwa mchawi kuomba jambo jema.

Majini ni mapepo wachafu ambao wapo kwaajili ya kumtumikia shetani kwa kumwangusha mwanadamu.
Mkuu majini ni viumbe ambao si malaika na wala si binaadamu, majini kiasili si malaika(waliyoasi) hakuna sifa za malaika kwa majini. Ni ajabu sana unakuta mtu anaamini majini kiasili ni malaika ila anawatambua majini kwa sifa ambazo si asili ya malaika wala binaadamu.

Hata hapo ukiulizwa kwanini hao malaika waliyoasi wanaitwa majini? huwezi kuwa na jibu, limekosekana jina la kuwaita hao malaika waliyoasi mnaenda kuwahusisha na majini.
 
Y
Nakuunga mkono.
Waliokuwa kwenye kile kikao lao Moja! Na hayo ni machache waliyoyaropoka kama bahati mbaya lakini huko sirini hutenda na kusema mabaya kushinda hayo ambayo hawako tayari kuyaweka hadharani isipokuwa kwa watu maalumu ambao huwafuata kuomba kutatuliwa shida zao ikiwa pamoja na WANASIASA ambao huwafuata katika vipindi kama hivi vya kuelekea kwenye uchaguzi kuwaomba wawafanyie makafara waweze kushinda ubunge na udiwani.
Hiki ni kipindi cha makuhani kula vizuri na kunenepa kutokana na hela za WANASIASA wanazomwaga ili wafanyiwe utaalamu uchaguzi uwaendee vizuri.
Yaani Biashara ndio kwanza imeanza 😅!
Wabunge watarajiwa wakae chonjo !
Biashara hufanywa asubuhi !
Ohooo atakaye chelewa itakula kwake 😳 !
 
Mkuu majini ni viumbe ambao si malaika na wala si binaadamu, majini kiasili si malaika(waliyoasi) hakuna sifa za malaika kwa majini. Ni ajabu sana unakuta mtu anaamini majini kiasili ni malaika ila anawatambua majini kwa sifa ambazo si asili ya malaika wala binaadamu.

Hata hapo ukiulizwa kwanini hao malaika waliyoasi wanaitwa majini? huwezi kuwa na jibu, limekosekana jina la kuwaita hao malaika waliyoasi mnaenda kuwahusisha na majini.
Exactly !
 
Ungekua na elimu ungejua kua msingi wa kwanza wa uislam, ni kuamini “HAKUNA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUA ALLAH NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE”

Shahada hiyo kwa Allah inajulikana kama Tauhidi,
Tauhidi ni
1. Kujua Mungu ni mmoja
2. Ibada zote na dua kua kwake yeye na si kitu kingine
3. Sifa zote kwake yeye.

Anything else other than that ni Ushirikina.

Chuki ikizidi inaondoa akili. Pumbafu wewe
Kwani hayo si ni maagizo na sio kuabudiwa
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Sasa unashangaa nini? Majini ndo malaika wa waislamu
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
That's true
 
Uyo Shekhe JONGO pengine Wasingempa kuongea ingepunguza uyu mlokole na mchungaji kuleta huu Uzi wa propaganda kuusu sijui majini Nk ktk msingi kidini

ata Imam akiwa na matatizo mfano mizozo kwenye Ndoa yake uwa anaomba Imam mwengine ndio atoe mawaiza ikiwa ni siku ya Ijumaa kwamaana anaweza asiwe ktk utimam wa Akili ktk kusimamia anacholenga kutwambia!

Sijui kwengine nako kama kuna huu Utalatibu!!, Shekhe Jongo kaongea kimakosa mbele ya Mufti wetu. Lkn Je Shekhe Jengo,,! kwann muongozaji alimpa Nafasi ya kuongea Wkt uyu Shekhe anamatatizo makubwa kwasasa Kiakili,,!

apo kosa la kwanza ni ili kwanini apewe nafasi mtu mwenye tuhuma kubwa kipindi ichi!!!!!! na niwazi pia atakuwa kazongwa na matatizo makubwa akilini mwake,

Wasiojua nawakumbushwa kama week ivi apa apa JF kuna mtu alileta UZI kuwa msikiti wa Manyema kuna watu Wamepiga 2Bilion mzozo ambayo ata Rais MAMA SAMIA kaagiza kupata maelezo

sasa naomba mjue Uyu Shekhe JONGO ndio Imamu mkuu wa uwo msikiti wa Manyema wenye Kashfa kubwa kuwai kutokea ktk Misikiti inayolatibiwa na Bakwata RITA pia wameingilia kati kufanyanyike Uchaguzi ktk iyo Ali vipi mnampa Shekhe Jongo aongee ataongea nini Zaid mashudu!!!

Majini Uslamu unapakaziwa na Wachungaji mizwazwa na milokole vichwani weupe!!! lkn wanajitoa akili ili kufanya propaganda!!! Hoja naomba ajibu mwenye Akili sio ZWAZWA!

ikiwa Waislam ni kweli wanapenda mambo ya Majini na Ushilikina sindio mnavyosema!!!
HOJA mbona pwani yao Waislam akuna matatizo ya watu kuchunwa ngozi ALBINO kuuwawa!!!!! kukatwa viungo!!!! Wabibi zetu kuuwawa!! kisa macho mekundu!!!! Wanaume kukatwa mapumb yakatumike kwenye ushilikina!!!

Mbona aya mambo yote Yanatokea mikoa yenye Wakristo wengi ikiwemo mkoa wa Sumbawanga Shinyanga Mbeya Mwanza yenye pia idadi kubwa ya Wakristo???

Waislam wanatuuma Gani japo moja ili tuunganishe na propaganda zenu tuamini kuwa Waislam washilikina na wana majini au ndio propaganda ya Debe Tupu tuamini!! Aya mwenye Akili Anijibu ili Wasomaji wajue uyu kweli kajibu na Akili Anazo!!! Karibuni Wakristo ?????
Mimi ni muislamu.
Uislamu unatutaka tunapozungumza tuwe waadilifu.
Katika uadilifu ni kwamba mtu akisema ukweli hata kama ni adui yako mwambie kwahilo umesema kweli!
Na mtu akisema uongo hata kama ni rafiki yako mwambie kwahilo rafiki yangu umesema uongo.
Mimi kwa sasanina umri wa miaka 48.
Tangu nikiwa mtoto wa miaka 12 nilikuwa nikisikia tuhuma kutoka kwa wakristo wakisema sisi waislamu tunafuga majini na uislamu ni dini ya majini nikawa napinga kwa nguvu zote.
Baada ya kukua , kusoma na kutembea na kukutana na makundi mbalimbali ya waislamu wenye Imani, itikadi na misimamo tafauti nikagundua kwamba ni kweli kuna baadhi ya waislamu wanashirikiana na majini waovu ( mashetani ) katika kazi zao za uganga, uchawi na ushirikina na hao ndio wamechafua jina la uislamu na waislamu kuonekana katika macho ya jamii ya wakristo kuwa uislamu ni dini ya majini.
Kinachotakiwa sio kukataa jambo hili , bali ni kufafanua kuwa hao waislamu wenzetu wanaoshirikiana na mashetani wanakosea na dini yetu kupitia Quran na hadithi za mtume صلى الله عليه وآله وسلم inakataza mambo ya ushirikina wa aina zote ila Hawa wenzetu ambao wengine ni maimamu katika baadhi ya misikiti wamekengeuka na kumfuata shetani na kuyapa mgongo mafundisho ya uislamu yanayopiga vita aina zote za matendo ya ushirikina.
Mfano wa waislamu wanaoendekeza mambo hayo ni Dr sule anayefikia hatua ya kumsingizia mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم kwa kutangaza kwamba HATA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وآله وسلم ALIFUGA MAJINI.
Mfano mwingine wa waislamu wanaofanya vitendo vya kishirikina hadharani ni huyu anayejiita Maallim kingu anayetangaza kusoma Albadiri na kuchinja mbuzi ili mama Samia apate mitano tena.
Huu ni ushirikina wa wazi unaofanywa na baadhi ya wanaojiita waislamu na huko sirini husema na kufanya mabaya zaidi ya hayo.
 
Wewe unaombaje msaada kwa kiumbe ambaye humuoni? ! Wajuaje kama muda huo anakusikia?! Wajuaje kama muda huo amelala au Yuko mbali sana na wewe ?! Hakuna namna ya kuhakikisha kuwa unachokiomba kwa majini kinapatikana bila kujifunza elimu ya uchawi tuliyoletewa huku Afrika na baadhi ya waarabu waliojivika sura na matendo ya kiislamu wakatuchanganyia haki na batili na sisi kutokana na ujinga tukashindwa kutofautisha karama na uchawi!
Allaah peke yake ndiye twatakiwa kumuomba hali ya kuwa hatumuoni.
Mwingine yeyote utakayemuomba hali ya kuwa haumuoni utakakuwa umemfananisha na Allaah na huo ndio ushirikina.
Tuseme tu Mungu mwenyewe ndio mjuzi zaidi ila ukiangalia dunia ilipofika ambapo tunaweza kuwasiliana na mtu ambaye yupo mbali sana na wewe tena pengine pasina hata kumjua wala kumuona, hivyo pengine tatizo baadhi ya hizo njia zitumikazo kuwasiliana na hao viumbe.
 
Kwani hayo si ni maagizo na sio kuabudiwa
Nilijua verified people are clever, but here you are the dumbest. What is 10 commandments? Aren’t they, the laws governing how you should live?

Okay, for the sake of your fellow dumb people,
In islam “worship/ibada ” is simply means obedience or devotion to God. It includes everything you do, say etc they should fall under the rule of Tawheed.
 
Back
Top Bottom