Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

Hamna chochote kwa huyo Bwana simkubali na napenda kujitutumua sana lakini Hana lolote, mheshimiwa rais Kama vipi apigechini huyu mtu ili tupate mwingine anayefaa kukamata hii wizara
Mwingine anaefaa nani sasa?🤣🤣🤣
Mnataka watu wale wale mliowazoea warudi,wakija wapya mnawapiga vita.
 
🤣🤣🤣Hizo zote zilikua ni kumsagia kunguni mtu mmoja tu 😆
Mazumbukuku hayaishi nchi hii

watu wamejaa fitina,haya mambo Mungu ndio anapanga,akina kalemani watambue hilo

Nani alijua samia atakuwa ndio Rais leo?
 
Apongezwe kwa kazi nzuri,asikatishwe tamaa 👏👏👏

Naunga mkonyo* mkono hoja 😀😆
 
Kwa Mashimba ni kweli huyu mtu sio wamadili kabisa, sio mwizi anaonekana tu
 
Ni kweli

Lkn usishangae kusikia wakamtumbua mda si mrefuu

Mkuuu

Maana najua yeye sio kipenzi cha Mama
 
We vipi bwana.
Wakati wa uhuru kulikuwepo na electronics zozote?
 
Ni kweli

Lkn usishangae kusikia wakamtumbua mda si mrefuu

Mkuuu

Maana najua yeye sio kipenzi cha Mama
Kua kipenzi au kutokua sio issue, Apige kazi na uadilifu tu ya kesho huwezi jua Mungu kapanga nini?hataa wakimtumbua
Uadilifu aendelee nao asibadilike usije shangaa Badae ndio anashika nchi,ya Mungu mengi
Who knows tomorrow!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…