Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

Hamna chochote kwa huyo Bwana simkubali na napenda kujitutumua sana lakini Hana lolote, mheshimiwa rais Kama vipi apigechini huyu mtu ili tupate mwingine anayefaa kukamata hii wizara
Mwingine anaefaa nani sasa?🤣🤣🤣
Mnataka watu wale wale mliowazoea warudi,wakija wapya mnawapiga vita.
 
ONA HAYA MAJUNGU,HIZI NYUZI ZOTE NI ZA MTU MMOJA ANAYETAKA NAFASI YA UWAZIRI KWA UFITINI NA UONGO.

👇👇

🤣🤣🤣Hizo zote zilikua ni kumsagia kunguni mtu mmoja tu 😆
Mazumbukuku hayaishi nchi hii

watu wamejaa fitina,haya mambo Mungu ndio anapanga,akina kalemani watambue hilo

Nani alijua samia atakuwa ndio Rais leo?
 
Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi,​

Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa yaliyoendelea ya Uholanzi, Marekani, Norway etc ila Sasa Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wake Mashimba Ndaki.

Kwamsiofahamu mpaka naandika waraka huu kuna zaidi ya halmashauri asiliamia 50 zinaendelea na Utambuzi wa mifugo yao kwa kuzivisha Ngo'mbe,Mbuzi,kondoo na Punda hereni za kielectronic hii ni heshima kubwa kwa Rais na Taifa kwa Ujumla wake,

Tofauti na Mawaziri wengine wengi waliotangulia Mashimba Ndaki ni Mtu Mnyenyekevu na Mpole Sana tena sio mtu wa kujivuna wala kujiona bora kutokana na Cheo wala kujikweza kwa Chochote zaidi ya Unyenyekevu alionao kwa Mungu wake,

Huenda ni kutokana na Upole wake huu na kutopenda Mambo ya Media Sana Waziri huyu amekuwa akifanyiwa hujuma nyingi hasa humu mitandaoni kama nilivyoonesha hapo chini ili kuoneshwa kwa Rais kuwa Waziri huyu hafai ila Dkt Kalemani au Mwingine kama hayo mabandiko yanavyotanabaisha,

Tujiulize tu, Hivi hao walioshindwa hizo wizara nyingine wataiwezaje hii?

Kwa unyenyekevu Mkubwa, Naomba wasaidizi wa Mhe Rais wetu kipenzi mmwambie kuwa Waziri Mashimba Ndaki ndio Waziri wa kwanza wa mifugo hapa Tanzania tangu tupate Uhuru anayetambua mifugo kielectronic ili iweze kukidhi Sharti la kuuzwa nje hasa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe kufungua biashara ya mifugo na nchi za Falme za kiarabu,

Kama kuna mtu anatamani Waziri Mashimba aondolewe hiyo Wizara, asahau, Sisi Wafugaji na wavuvi tunamuhitaji Sana kuliko pengine yeye anavyouhitaji huo uwaziri wake na ndio sababu ya kupaza sauti kukanusha nia hizi ovu za wasaka madaraka hawa,

Tunahitaji maendeleo sio maneno maneno,tunahitaji watu waadilifu na waaminivu kama huyu,

Pili, Tukiacha chuki, Hebu angalia Waziri Mashimba Ndaki alivyoituliza na kuimaliza kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji kama hujui hili nenda Mkoa wa Morogoro utaelewa ninachosema hapa,

imeandikwa "Nanyi mtanyamaza kimya kwakuwa mtetezi wenu yu-hai "

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Mbariki Waziri Mashimba
Apongezwe kwa kazi nzuri,asikatishwe tamaa 👏👏👏

Naunga mkonyo* mkono hoja 😀😆
 
Kwa Mashimba ni kweli huyu mtu sio wamadili kabisa, sio mwizi anaonekana tu
 
Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi​

Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa yaliyoendelea ya Uholanzi, Marekani, Norway etc ila Sasa Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wake Mashimba Ndaki.

Kwamsiofahamu mpaka naandika waraka huu kuna zaidi ya halmashauri asiliamia 50 zinaendelea na utambuzi wa mifugo yao kwa kuzivisha ngo'mbe, mbuzi, kondoo na punda hereni za kielectronic. Hii ni heshima kubwa kwa Rais na Taifa kwa ujumla wake.

Tofauti na Mawaziri wengine wengi waliotangulia Mashimba Ndaki ni mtu mnyenyekevu na mpole sana tena sio mtu wa kujivuna wala kujiona bora kutokana na cheo wala kujikweza kwa chochote zaidi ya unyenyekevu alionao kwa Mungu wake.

Huenda ni kutokana na upole wake huu na kutopenda mambo ya media sana Waziri huyu amekuwa akifanyiwa hujuma nyingi hasa humu mitandaoni kama nilivyoonesha hapo chini ili kuoneshwa kwa Rais kuwa Waziri huyu hafai ila Dkt. Kalemani au mwingine kama hayo mabandiko yanavyotanabaisha.

Tujiulize tu, Hivi hao walioshindwa hizo wizara nyingine wataiwezaje hii?

Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba wasaidizi wa Mhe. Rais wetu kipenzi mmwambie kuwa Waziri Mashimba Ndaki ndio Waziri wa kwanza wa mifugo hapa Tanzania tangu tupate uhuru anayetambua mifugo kielectronic ili iweze kukidhi sharti la kuuzwa nje hasa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe kufungua biashara ya mifugo na nchi za Falme za Kiarabu.

Kama kuna mtu anatamani Waziri Mashimba aondolewe hiyo wizara, asahau, sisi wafugaji na wavuvi tunamuhitaji sana kuliko pengine yeye anavyouhitaji huo uwaziri wake na ndio sababu ya kupaza sauti kukanusha nia hizi ovu za wasaka madaraka hawa.

Tunahitaji maendeleo sio maneno maneno, tunahitaji watu waadilifu na waaminivu kama huyu.

Pili, tukiacha chuki, hebu angalia Waziri Mashimba Ndaki alivyoituliza na kuimaliza kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji kama hujui hili nenda mkoa wa Morogoro utaelewa ninachosema hapa.

imeandikwa "Nanyi mtanyamaza kimya kwakuwa mtetezi wenu yu-hai "

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Mbariki Waziri Mashimba
Ni kweli

Lkn usishangae kusikia wakamtumbua mda si mrefuu

Mkuuu

Maana najua yeye sio kipenzi cha Mama
 
We vipi bwana.
Wakati wa uhuru kulikuwepo na electronics zozote?
 
Ni kweli

Lkn usishangae kusikia wakamtumbua mda si mrefuu

Mkuuu

Maana najua yeye sio kipenzi cha Mama
Kua kipenzi au kutokua sio issue, Apige kazi na uadilifu tu ya kesho huwezi jua Mungu kapanga nini?hataa wakimtumbua
Uadilifu aendelee nao asibadilike usije shangaa Badae ndio anashika nchi,ya Mungu mengi
Who knows tomorrow!....
 
Back
Top Bottom