Uwe na umakini wa kitu unachoandika.
Electronic tags wakati wa uhuru hazikuwepo, sasa ukilinganisha livestock identification methods wakati wa uhuru na tagging inayofanyika sasa ni mbingu na nchi.
Na huko ni kukosa weledi wa ulinganisho wa tu kile kitu unachoongelea.