Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Leo Tarehe 5/11/2023 kuna Mechi ya Simba na Yanga.
"Mimi ndie mmiliki wa kuamua nani ashinde na nani asishinde, Simba niliwabariki hawakuona thamani yangu na Yanga niliwabariki hawakuona thamani yangu.
"Lakini nimeona watu wa Simba wanajigamba wamejipanga kuifunga Yanga, sasa mimi nasemaje mimi ndie mwenye Ufunguo huo wa kuamua nani ashinde na nani asishinde.
"Watu wa Simba andaeni Wimbo wa Parapanda, wana Simba muanze kuweka matanga, narudia tena watu wa Simba muanze kuomboleza "Parapandi Italia Parapanda tarehe tano Simba akizikwa," huo wimbo muanze kuuiimba mapema mimi ndie Mchungaji wa Taifa Nabii Mikaya.
"Naomba kila Mwana Yanga amgeukie mapema mwana Simba aliekaribunae ampe pole ya Maziko" Mchungaji Mashimo [emoji2788]