Mashimo: Simba anzeni kuimba wimbo wa parapanda, Yanga itashinda

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Leo Tarehe 5/11/2023 kuna Mechi ya Simba na Yanga.

"Mimi ndie mmiliki wa kuamua nani ashinde na nani asishinde, Simba niliwabariki hawakuona thamani yangu na Yanga niliwabariki hawakuona thamani yangu.

"Lakini nimeona watu wa Simba wanajigamba wamejipanga kuifunga Yanga, sasa mimi nasemaje mimi ndie mwenye Ufunguo huo wa kuamua nani ashinde na nani asishinde.

"Watu wa Simba andaeni Wimbo wa Parapanda, wana Simba muanze kuweka matanga, narudia tena watu wa Simba muanze kuomboleza "Parapandi Italia Parapanda tarehe tano Simba akizikwa," huo wimbo muanze kuuiimba mapema mimi ndie Mchungaji wa Taifa Nabii Mikaya.

"Naomba kila Mwana Yanga amgeukie mapema mwana Simba aliekaribunae ampe pole ya Maziko" Mchungaji Mashimo [emoji2788]

1699177308829.jpg
 
View attachment 2804572
Huyu atakuwa shoga kama yule mwenzake nabii Tito hata uvaaji wao unafanana.
 
Lol! Dah, nina majonzi yangu ila nimecheka sana.
Makolo mbona matusi yamekua mengi? Vumilieni ndio wakati wenu, mechi iliyopita mbona sisi tulivumilia?
 
Kwani kumbe dk 90 tayari na matokeo unayo mwenzetu mpaka unatusihi tuvumilie?Au unataka tuvumilie tantalila za Mashimo?
 
MAKOLO yanahaha kutafta namna match iahirishwe. maana mpaka sana yameshafungwa,bado tu utimilifu wa unabii.
 
Leo Tarehe 5/11/2023 kuna Mechi ya Simba na Yanga.

"Mimi ndie mmiliki wa kuamua nani ashinde na nani asishinde, Simba niliwabariki hawakuona thamani yangu na Yanga niliwabariki hawakuona thamani yangu.

"Lakini nimeona watu wa Simba wanajigamba wamejipanga kuifunga Yanga, sasa mimi nasemaje mimi ndie mwenye Ufunguo huo wa kuamua nani ashinde na nani asishinde.

"Watu wa Simba andaeni Wimbo wa Parapanda, wana Simba muanze kuweka matanga, narudia tena watu wa Simba muanze kuomboleza "Parapandi Italia Parapanda tarehe tano Simba akizikwa," huo wimbo muanze kuuiimba mapema mimi ndie Mchungaji wa Taifa Nabii Mikaya.

"Naomba kila Mwana Yanga amgeukie mapema mwana Simba aliekaribunae ampe pole ya Maziko" Mchungaji Mashimo [emoji2788]

View attachment 2804572
Hivi kanisani kwake wanakwenda watu Wenye akili timamu?
 
Back
Top Bottom