franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 177
Aisee kumbe sikuhizi mafundi wamebadilika enzi zetu nilikuwepo mimi mangwelele juma mchafu na mafundi wengine wengi vijiwe buguruni,mbagala tmkMafund wrote Issa mamba,dogo Janja,dogo Ally, dogo Yassin eagle, Master Chaula,nduli ndulima,dogo Sisco,Kwata mwivi,Ronald,Simba wa kongwa Na wengneo
Umenikumbusha juma mchafu!Aisee kumbe sikuhizi mafundi wamebadilika enzi zetu nilikuwepo mimi mangwelele juma mchafu na mafundi wengine wengi vijiwe buguruni,mbagala tmk
Nipo mbali mzee ila ningekuwa karibu na ALLAH akinijalia afya njema ningetimbaMashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya kitunda relini njoo uone mafund wakubwa wakpga kete kali
Daaah! Mnawajuaje hawa? Au mnakaa kitaa kimoja?Mafund wrote Issa mamba,dogo Janja,dogo Ally, dogo Yassin eagle, Master Chaula,nduli ndulima,dogo Sisco,Kwata mwivi,Ronald,Simba wa kongwa Na wengneo
Mkuu sipafahamu exact location ya hayo mashindano..je nikishuka kituoni relini tu ntapaona au itabidi niingie ndani ndani? Na ni muda gani wanaanza?Mchafu ni marehemu hv ss
Kiingilio sh. ngapiMashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini.
View attachment 1474666
Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
Bure mkuu?Kama unatokea upande wa Tazara shuka banana chukua magar ya kitunda kisha shuka Nyaza ulizia ukumbi wa java co mbal mashndano yanaanza Saa tano asubh
Mkuu hicho ni kizazi kipya cha mabao na wengi hapo ni wanafunzi wa hao mafundi, mfano huyo Issa mamba ni denti wa mangwelele huyo ni hatari sana.Kama hayupo mangwelele na makoti au jetlee basi hakuna mafundi huko