Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

franknombo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
170
Reaction score
177
Mashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini.

1E931B48-68F3-4BBE-A054-84391741B69B.jpeg


Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
 
Kama hayupo mangwelele na makoti au jetlee basi hakuna mafundi huko
Mkuu hicho ni kizazi kipya cha mabao na wengi hapo ni wanafunzi wa hao mafundi, mfano huyo Issa mamba ni denti wa mangwelele huyo ni hatari sana.

Nimewashuhudia wakipambana kwenye mashindano kadhaa hao kina Issa mamba,dogo janja, Ronaldo, Nduli, Kwata Mwivi nk nk wana balaa hao hatari.
 
Back
Top Bottom