Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Hapo sawa Kama Ni wanafunzi maana mabingwa Wa mabingwa Ni akina mangwelele na timu yake wakikutana hao watacheza draft masaa kumi wakitoka draw
 
Hapo sawa Kama Ni wanafunzi maana mabingwa Wa mabingwa Ni akina mangwelele na timu yake wakikutana hao watacheza draft masaa kumi wakitoka draw
Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.

Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.

Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
 
Mkuu ntafika kitunda jumapili, maana inaonekana kuna balaaa huko,
 
Natamani ningekuwepo.nione hao mabingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…