Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Kata mwizi..dah umetaja mafundi woteMafund wrote Issa mamba,dogo Janja,dogo Ally, dogo Yassin eagle, Master Chaula,nduli ndulima,dogo Sisco,Kwata mwivi,Ronald,Simba wa kongwa Na wengneo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kata mwizi..dah umetaja mafundi woteMafund wrote Issa mamba,dogo Janja,dogo Ally, dogo Yassin eagle, Master Chaula,nduli ndulima,dogo Sisco,Kwata mwivi,Ronald,Simba wa kongwa Na wengneo
Mkuu hicho ni kizazi kipya cha mabao na wengi hapo ni wanafunzi wa hao mafundi, mfano huyo Issa mamba ni denti wa mangwelele huyo ni hatari sana.
Nimewashuhudia wakipambana kwenye mashindano kadhaa hao kina Issa mamba,dogo janja, Ronaldo, Nduli, Kwata Mwivi nk nk wana balaa hao hatari.
Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.Hapo sawa Kama Ni wanafunzi maana mabingwa Wa mabingwa Ni akina mangwelele na timu yake wakikutana hao watacheza draft masaa kumi wakitoka draw
Ni Kwata mwivi yaani Kamata mwizi (kirangi hicho).Kata mwizi..dah umetaja mafundi wote
Mkuu ntafika kitunda jumapili, maana inaonekana kuna balaaa huko,Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.
Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.
Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
Kwa hiyo list hapo lazima patachimbika, ni wachezaji wakali na wanajuana sana.Mkuu ntafika kitunda jumapili, maana inaonekana kuna balaaa huko,
Ha haaa, Ronaldo itakuwa aliongea sana maana alinyanyaswa Moshi na huyu Gaidi akataka kupigwa suti, akapambana akamwaga sare game ya mwisho.Gaidi in mchezaji mzur alichkua ubingwa was Tanzania aliingia faunal Na Ronald lkn kwenye champion of champion mwaka 2020 alfungwa na Ronald kwenye tege jipya
Ronaldo yupi unaemzungumza. maanana huku zanzibar yupoRonado yupo
Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.
Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.
Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
Natamani ningekuwepo.nione hao mabingwa.
Huyu ni wa Dar ila kwa sasa yupo Dom.Ronaldo yupi unaemzungumza. maanana huku zanzibar yupo