Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Huyo ni Dogo Janja huyu msanii au
 
Huyo Simba wa Kongwa anaonekana ana balaa kamuua Nduli!! Noel pia bado yuko njema naona anatoboa semi final.
Mech znaendelea Ronald anaongza 2 gaid 0'Simba Dom 2 Ndul 0' Issa mamba 1 dgo Sick 0' Noel namaloe 3 dogo Ally 1
 
Kuna dogo mmoja Chiba anakuaga Charambe...sijajua kama nae atashiriki. Yupo vizuri mno.
 
Hilo dude mimi ninaliona sana! Ukigusa kete mara tano tu nshakumaliza
 
Waliongia nusu final Issa mamba,Ronald,Noel namaloe bdo mech ya Simba Dom vs ndul ndulima
Mkuu natumaini nusu fainal na fainal itakua kesho.

Samahani muda wa kuanza mechi ni saa ngapi, tuje na sisi kushuhudia mtanange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…