Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Huyo ni Dogo Janja huyu msanii au
 
Huyo Simba wa Kongwa anaonekana ana balaa kamuua Nduli!! Noel pia bado yuko njema naona anatoboa semi final.
Mech znaendelea Ronald anaongza 2 gaid 0'Simba Dom 2 Ndul 0' Issa mamba 1 dgo Sick 0' Noel namaloe 3 dogo Ally 1
 
Mkuu hicho ni kizazi kipya cha mabao na wengi hapo ni wanafunzi wa hao mafundi, mfano huyo Issa mamba ni denti wa mangwelele huyo ni hatari sana.

Nimewashuhudia wakipambana kwenye mashindano kadhaa hao kina Issa mamba,dogo janja, Ronaldo, Nduli, Kwata Mwivi nk nk wana balaa hao hatari.
Kuna dogo mmoja Chiba anakuaga Charambe...sijajua kama nae atashiriki. Yupo vizuri mno.
 
Hilo dude mimi ninaliona sana! Ukigusa kete mara tano tu nshakumaliza
 
Waliongia nusu final Issa mamba,Ronald,Noel namaloe bdo mech ya Simba Dom vs ndul ndulima
Mkuu natumaini nusu fainal na fainal itakua kesho.

Samahani muda wa kuanza mechi ni saa ngapi, tuje na sisi kushuhudia mtanange
 
Back
Top Bottom