Mashindano ya Division ZERO 2023

Sijaelewa hapa kwamba Stroke ndio huyohuyo Juma1967 ? maana nimeona kujiuliza na kujielekeza na kujishukuru mwenyewe.
Hamna kijana wa CCM mwenye akili!! Na huyo ni mwalimu hapo kala dagaa lake na joto la mlandizi kajikalia kibarazani na kishikwambi anapumua tuuuh!
Kakosa kazi sasa anatumia multiple IDs kujiuliza na kujijibu JF!! Hii nchi ina viumbe wa hovyo sana!
 
Mara nyingi hao division Zero ndio Huwa ni mashabiki wa Chadema wasiojua wanachishabikia 🤸🤸
 
Hamna kijana wa CCM mwenye akili!! Na huyo ni mwalimu hapo kala dagaa lake na joto la mlandizi kajikalia kibarazani na kishikwambi anapumua tuuuh!
Kakosa kazi sasa anatumia multiple IDs kujiuliza na kujijibu JF!! Hii nchi ina viumbe wa hovyo sana!
Hahaah au ni tatizo la mitambo?.
 
Hii ndio utavuna ulichopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…