Mashindano ya Division ZERO 2023

Mashindano ya Division ZERO 2023

Sijaelewa hapa kwamba Stroke ndio huyohuyo Juma1967 ? maana nimeona kujiuliza na kujielekeza na kujishukuru mwenyewe.
Hamna kijana wa CCM mwenye akili!! Na huyo ni mwalimu hapo kala dagaa lake na joto la mlandizi kajikalia kibarazani na kishikwambi anapumua tuuuh!
Kakosa kazi sasa anatumia multiple IDs kujiuliza na kujijibu JF!! Hii nchi ina viumbe wa hovyo sana!
 
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Mara nyingi hao division Zero ndio Huwa ni mashabiki wa Chadema wasiojua wanachishabikia 🤸🤸
 
Hamna kijana wa CCM mwenye akili!! Na huyo ni mwalimu hapo kala dagaa lake na joto la mlandizi kajikalia kibarazani na kishikwambi anapumua tuuuh!
Kakosa kazi sasa anatumia multiple IDs kujiuliza na kujijibu JF!! Hii nchi ina viumbe wa hovyo sana!
Hahaah au ni tatizo la mitambo?.
 
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Hii ndio utavuna ulichopanda.
 
Back
Top Bottom