Jana nilipata bahati ya kushuhudia Nusu Fainali pamoja na Fainali ya mashindano ya Draft yaliyofanyika Kinondoni - Manyanya.
Washiriki walikuwa 32, na walioingia nusu ilikuwa:
Ronaldo vs Saia (Spelling sina uhakika sana) Ronaldo alishinda 3 - 1.
Issa Mamba vs Dogo Yassin, Issa Mamba alishinda 3 bila.
Fainali Ronaldo aka (Christian Bela, Scientist, Alien, Field Marshall) akimshinda Issa (Meno ya Mamba) goli 3 kwa 1.
Wao wanasema ilikuwa ni warm up wakisubiria ligi ambayo mshindi ataondoka na kitita cha shilingi milioni 1.
Kwa mara ya kwanza niliweza kuwaona mabingwa ambao nimekuwa nikiwasikia kwenye vijiwe tofauti tofauti vya madraft.
Baadhi yao ni Mangwelele, Nduli, Dogo Sisqo, Dogo Yassin, Bedui (kawa chapombe siku hizi), Chaula, Ronaldo na Issa Mamba.
Nilifurahi sana kumwona Mangwelele, huyu mwamba nimeanza kumsikia miaka kama 10 iliyopita, dah!